Habari ndugu wajasiliamali wenzangu.
Nataka nifahamishwe jana kuna sehemu nilienda ni porini na nikaona Mawe meupe mfano wa karatasi yapo kando ya kijimto.
Na pia ndani ya maji ya huo mto kuna chembe ndogondogo kama mchanga nazo zinang'aa kweli. Je kuna uwezekano wa uwepo wa mgodi maeneo hayo.
Mchango wa mawazo kwa wenye utaalamu wa miamba.