Madini ya "GELANI"

BIA BORA

Senior Member
Oct 21, 2013
144
164
WAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini YA GALENA, naomba unipe mwangaza katika haya
1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko?
2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa?

Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu
 
Back
Top Bottom