Madini ya Bauxite

Madini ya Bauxite

sniper4

New Member
Joined
Jun 14, 2020
Posts
2
Reaction score
3
Naomba msaada kuelekezwa ni wapi au Company ipi inahouza madini ya Bauxite hapa Tanzania kwa anayefahamu naomba anijulishe au anisaidie kupata Mawasiliano na wahusika

Natanguliza Shukrani
 
Naomba msaada kuelekezwa ni wapi au Company ipi inahouza madini ya Bauxite hapa Tanzania kwa anayefahamu naomba anijulishe au anisaidie kupata Mawasiliano na wahusika

Natanguliza Shukrani
Kwa Tanzania haya madini yanachimbwa Lushoto eneo mojawapo ni Magamba nafikiri ukienda huko utafahamu utaratibu ukoje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom