Madini huduma kiganjani

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
956
Katibu Mkuu wa wizara ya Madini, Kheri Abdul Mahimbali amewahakikishia watanzania wanaotaka kujihusisha na biashara ihusianayo na sekta ya Madini nchini kuwa Serikali imefungua milango kuwahudumia na lolote wanalotaka wakati wowote wasisite kuwasiliana na ofisi za madini zilizosambaa maeneo yote nchini huku akitoa namba yake ya simu kwa watakaotaka kupata huduma zaidi kutoka kwake.

"Namba yangu ni 0777444888 nipigie wakati wowote tutakuhudumia. Madini ni maisha na utajiri" Amenukuliwa Katibu mkuu huyo alipokuwa anazungumza katika kipindi cha Good Morning kinachorushwa na wasafi FM.
Screenshot_20231107-200303.jpg

Sent from my Infinix X6716B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2807107

Sent from my Infinix X6716B using JamiiForums mobile app
tunahitaji kupeana fursa kama hizi ...haya ndio yanaitwa matumizi mazuri na ya kisasa ya mtandao
 
Back
Top Bottom