Madini haya yanatakiwa

Mbona hujaweka mawasiliano Mie ninayo hayo madini namba zangu za WhatsApp ni 0787701403
 
Biashara hii anakwenda na mabadiliko ya masoko ya wanunuzi....nje nko?
Tanzania kuna azonite lkn mpaka kesho azonite inayonunuliwa na kutakiwa ni ya msumbiji....?
Huo ni mfano tu nakupa....
Mkuu kuna jamaa nimempeleka site nitakucheki.
 
PM tafadhali

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 

Unaenda kutapeliwa siyo muda mrefu.au wewe mwenyewe ndiyo unataka kutapeli mtu.siku hizi kuna masoko ya madini.acheni tabia ya kununua madini mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…