mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,881
watawaala wa Afria hawaanzi kwa nia ya kuwa nadikteta kinachotokea ni:
- wanaponogewa madaraka hawatamani kuachia tena
- wanazungukwa na wapambe na kuwajaza misifa kem, kem wanavimba vichwa.
- wanapofanya makosa na kuogopa kuondoka wanajenga kiburi cha madaraka.
- sapoti kutoka mataifa makubwa yanayonufaika kiuchumi. mfano China haijali kama nchi inafuata demokrasia au la ili mradi maslahi yao yapo tu! udikteta katika afrika uanpaliliwa sana na mataifa yanayojali maslahi binafsi!
- Kulindana baina ya watawala wa bara la afrika hasa wenye muelekeo unaofanana. Mfano ni kulindwa kwa Mugabe japo Zimbabwe ilikuwa inadidimia kiuchumi