Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,308
- 289,277
Ushahidi huu hapa
Mwisho wa dhuluma umewadia .
Mwisho wa dhuluma umewadia .
Hata kama Museveni ataondolewa madarakani, sidhani kama kutakuwa na mabadiliko makubwa sana Uganda. Tatizo naliona katika hizi nchi zetu, ni kama haya matatizo yameenea Afrika nzima. kuna watu wachache sana ambao wako tofauti. Pengine tungekuwa na utaratibu wa kubadilishana mapema, tena siyo kwa chama kilekile, bali chama kikae kando kiingie kingine, ingetusaidia sana. sasa hivi watawala wengi ni waroho, na hata wakiondoka wanaweka mawakala wao
Jwtz ni taasisi makini sana mkuu nakuunga mkonoMseveni anatia aibu sana
hadi kinyaa waganda nao wanatia huruma sana
ingekuwa bongo sizan kama huyu jamaa angukuwa ikulu miaka yote hii
hapo ndio uwa naheshimu sana JWTZ pamoja na mapungufu tuliyonayo nawaamini sana hawa jamaa hawawezi kuruusu ujinga kama anaoufanya Meseven Uganda
Tema mate chini mkuu!Mseveni anatia aibu sana
hadi kinyaa waganda nao wanatia huruma sana
ingekuwa bongo sizan kama huyu jamaa angukuwa ikulu miaka yote hii
hapo ndio uwa naheshimu sana JWTZ pamoja na mapungufu tuliyonayo nawaamini sana hawa jamaa hawawezi kuruusu ujinga kama anaoufanya Meseven Uganda
Mseveni anatia aibu sana

Tushukuru kuwa historia inatulimda na si kingine. Nchi nyingi za Africa ambazo viongozi wao ving'ang'anizi wa madaraka ukiangalia historia ni aidha rais wa kwanza au wa pili ndio hataki kutoka. Na huyo wa pili jua alimpindua wa kwanza.Mseveni anatia aibu sana
hadi kinyaa waganda nao wanatia huruma sana
ingekuwa bongo sizan kama huyu jamaa angukuwa ikulu miaka yote hii
hapo ndio uwa naheshimu sana JWTZ pamoja na mapungufu tuliyonayo nawaamini sana hawa jamaa hawawezi kuruusu ujinga kama anaoufanya Meseven Uganda
Huwa na waonea huruma sana.Mwisho wa ubaya aibu.....
Nashindwa kuelewa viongozi wa kiafrika mawazo yao, kwa kuwa wengi wao wanapochaguliwa na wananchi, huwa wanaona ni kama vile tumewakabihi nchi pamoja na watu wake wote kuwa mali yao binafsi na anaweza kutufanya lolote!
Na huyu Jiwe ajiangalie, watakuwa wanamvutia pumzi tu na anaweza kuwa "next in the list"
Hahahaa just hahahaaaMseveni anatia aibu sana
hadi kinyaa waganda nao wanatia huruma sana
ingekuwa bongo sizan kama huyu jamaa angukuwa ikulu miaka yote hii
hapo ndio uwa naheshimu sana JWTZ pamoja na mapungufu tuliyonayo nawaamini sana hawa jamaa hawawezi kuruusu ujinga kama anaoufanya Meseven Uganda
Unajidanganya, ngoja watoe hati ya kukamatwa Kama Museven hakwenda The hague.....usipomtoa hupati misaada, na usipokwenda utaishi Kama jiwe chumbani kwako tu...[emoji23]ICC haina nguvu tena , wataishia huko kwenye uchunguzi na kupiga kelele.