Madhila ya Afrika na vinasaba

Sawa kabisa mkuu.kwa kuongezea twapaswa kufahamu kuwa genius wa hesabu hatakuwa genius Kwenye mziki.Genius wa udakitari hatakuwa genius katika somo la uchumi.kipimo cha IQ kinamaanisha kwa mfano huo kuwa WaPo watu wenye uwezo wa Vyote hivyo kwa pamoja na huyo wanampa asilimia mia.tujiulize Je ni kweli mtu wa aina hiyo yupo?ukweli ni kwamba hakuna.pia maswali yanayoulizwa mengi yanahusiana na utamaduni wa sehemu husika.pia malezi
,elimu na mengineyo mengi.kwa kifupi kipimo hicho ni cha kufikirika hakina Uhalisia wowote.
 
Mamitihani mengi ya Kimagharibi yako hivyo. Nafanya mtihani wa GRE eti swali linauliza "What and where Kentucky?" Nilitaka kujibu Kentucky Fried Chicken sema tu ilikuwa ni multiple choice. Yaani mtihani mzima umekaa kikwao kwao tu na kama hukufanya mazoezi ya kutosha basi hata 50 hupati halafu wanaishia kukuona mjinga bure tu. IQ hali kadhalika maswali mengi bila kuwa kwenye mfumo wa Kimarekani au Ulaya aisee hupati kitu hasa ukizingatia kuwa ni vurugu mechi tu.
 
Watu watabisha saanaa! hadi ndimi zipate moto ila kiukweli sisi waafrika uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kukabiliana changamoto hatuna. huo ndo ukweli mtake msitake!
dhibitisha..
 
huu mfano wako ni Hing end useless.... kumbuka mbuzi na samaki ni viumbe viwili tofauti...
 
In your perspective unadhani wapi tumekwama??..
 

You might be right but let be honest the ending sucks....
 
Wanakuja..
 
Hahaha mbio za sakafuni...
 
Mazingira rahisi ya mwafrika ndio yamedumaza ufahamu wa mwafrika.
 
Mkuu hauko serious kabisa.

Umasiki na hali ilivyo afrika sasa hivi hauhitaji IQ kusema kuna kotu hakipo sawa kwa africans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…