Hakuna kabisa.Hakuna kitu kama IQ, iyo ni conspirancy imewekwa ikashadadiwa ili kuhalalisha ubaguzi, haswa kwa mtu mweusi. Mtu mweusi ndio mwanzilishi wa mahesabu, maandishi, irrigation, agriculture, hunting, architecture etc. Hiyo iq yake imekuwaje ikawa ni the lowest, na tulivo mbulula kila kinachosemwa na wazungu tunachukua na kuamini na kusambaza ujumbe, ofcoz ni kwa sababu mtu anaefanana na Mungu ndio kasema, kwa iyo hakuna kuuliza. Stupid.
Hakuna mtu anaeweza kupima uwezo wa kufikiri wa mwanadamu. Mtu aje hapa aelezee wanapimaje iyo iq
"Everybody is a Genius. But If You Judge a Fish by Its Ability to Climb a Tree, It Will Live Its Whole Life Believing that It is Stupid"-Albert Einstein.IQ is a very useless measure...binadamu tuna uwezo tofauti ktk kila jambo...huwezi mchukua mbuzi na samaki ukawashindanisha kuogelea kwa kutumia kizio kimoja,samaki atashinda tu,ukiwashindanisha kutoa maziwa mbuzi atashinda tu....IQ ndio inashindanisha wanadamu built for different geniuses kwa kutumia kizio kimoja....huu ni ukichaa kiwango cha lami
Huyu mtu anaweza kuwa na IQ kubwa lakini akawa anasukumwa na baadhi ya vitu ambavyo havihusiani kabisa na hii IQ mfanouthibitisho wa kawaida tu juu ya ufikiriaji mdogo wa mtu mweusi: Mtu amezaliwa kwenye jamii masikini ya kutupwa, akalelewa na kusomesha ndani ya jamii hiyo hiyo masikini, na pengine hiyo jamii ilimsaidia yeye kwa namna moja au nyingine kuvuka malengo yake, akafanikiwa. Baada ya muda anaomba ridhaa kwenye jamii hiyo hiyo ili aiongoze akijinasibu kwa ahadi lukuki kuwa atatatua matatizo ya jamii hiyo na kuivusha sehemu fulani. Hatimaye wanamwamini na kumpa uongozi, kinyume na matarajio ya wanajamii, yule mtu anageuka mdhalimu wa kutupwa juu ya jamii ileile masikini, ambayo imemlea, kumkuza, kumsomesha, kumuamini, na kumpa wadhifa wa uongozi, yule mtu anakuwa mnyanga,anyi wa rasilimali, mwizi, jeuri, kiburi, mkandamizi, mtukanaji wa watu wake. Kama hiyo haitoshi yule mtu anataifisha kila mali ya jamii husika kwa walowezi kwa manufaa ya tumbo lake, anaingia makubali ya ajabu-ajabu na walowezi isiyo na tija yoyote kwa jamii yake, anazidi kuididimiza jamii yake umasikini zaidi. Je huyu mtu utasema IQ yake nzima kwel
nipe tafsiri rahisi ya IQ hata kwa kiswahili kwa namna unavyoelewaHuyu mtu anaweza kuwa na IQ kubwa lakini akawa anasukumwa na baadhi ya vitu ambavyo havihusiani kabisa na hii IQ mfano
Ubinafsi
Uchoyo/Hila
Tamaa n.k
Upo sahihi kabisa kwa huu mchango wako sisi waafrika tunadhani matatizo tuliyonayo yameletwa na wazungu lakini tujiulize hivi wazungu wasingefika afrika hata hapa tulipo tusingefika mf.maeneo mengi ambayo wazungu hakuwekeza ndo kuna ujinga uliopitiliza na mifano ipo mingi sipendi kutaja hayo maeneo naogopa kuchafua hali ya hewaWatu watabisha saanaa! hadi ndimi zipate moto ila kiukweli sisi waafrika uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kukabiliana changamoto hatuna. huo ndo ukweli mtake msitake!
Kimsingi watu wa aina hiyo wako katika jamii zote.China mchina anaeingiza dawa za kulevya huuwawa,sio kwamba wauza nchi hawako. tukijipanga vizuri tunaweza.swala la IQ ni Kutufanya tusijiamini na ndio silaha kubwa ya wabaguzi.uthibitisho wa kawaida tu juu ya ufikiriaji mdogo wa mtu mweusi: Mtu amezaliwa kwenye jamii masikini ya kutupwa, akalelewa na kusomesha ndani ya jamii hiyo hiyo masikini, na pengine hiyo jamii ilimsaidia yeye kwa namna moja au nyingine kuvuka malengo yake, akafanikiwa. Baada ya muda anaomba ridhaa kwenye jamii hiyo hiyo ili aiongoze akijinasibu kwa ahadi lukuki kuwa atatatua matatizo ya jamii hiyo na kuivusha sehemu fulani. Hatimaye wanamwamini na kumpa uongozi, kinyume na matarajio ya wanajamii, yule mtu anageuka mdhalimu wa kutupwa juu ya jamii ileile masikini, ambayo imemlea, kumkuza, kumsomesha, kumuamini, na kumpa wadhifa wa uongozi, yule mtu anakuwa mnyanga,anyi wa rasilimali, mwizi, jeuri, kiburi, mkandamizi, mtukanaji wa watu wake. Kama hiyo haitoshi yule mtu anataifisha kila mali ya jamii husika kwa walowezi kwa manufaa ya tumbo lake, anaingia makubali ya ajabu-ajabu na walowezi isiyo na tija yoyote kwa jamii yake, anazidi kuididimiza jamii yake umasikini zaidi. Je huyu mtu utasema IQ yake nzima kwel
Sio Ubaguzi ndugu, kama hili kote iweje wenzetu hata kama watu kama hawa wapo ila wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa, kwa mfano tofauti ya kupata uhuru kati ya china na tanganyika ni miaka 20 tu, ila wenzetu wana maendeleo makubwa ajabu kama dunia ilianza kuumbwa kwao tatizo nini kama sio iq zetu kuwa ndogo?Kimsingi watu wa aina hiyo wako katika jamii zote.China mchina anaeingiza dawa za kulevya huuwawa,sio kwamba wauza nchi hawako. tukijipanga vizuri tunaweza.swala la IQ ni Kutufanya tusijiamini na ndio silaha kubwa ya wabaguzi.
IQ- Intelligence Quotient (uwezo wa mtu kufikiri)nipe tafsiri rahisi ya IQ hata kwa kiswahili kwa namna unavyoelewa
Kuna tafiti moja inasema IQ haipimwi kwa kuangalia matabaka ya rangi kwa maana kuwa rangi si sababu ya mtu aidha kuwa na uwezo mkubwa au mdogo wa kufikiri ila vitu kamaFrom what i know man's intelligent is made up of experience and knowledge acquired from his environment..... Sasa haya mambo ya waafrica kuwa na IQ ndogo nadhani ni kutokana na mazingira yetu from the start,
Kwa mfano kuna waafrica wengi tu ambao walikua na kusomea hko kwa wenzetu IQ zao ni kubwa tu kuliko hata hao wazungu!
Watu watabisha saanaa! hadi ndimi zipate moto ila kiukweli sisi waafrika uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kukabiliana changamoto hatuna. huo ndo ukweli mtake msitake!
Watu watabisha saanaa! hadi ndimi zipate moto ila kiukweli sisi waafrika uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kukabiliana changamoto hatuna. huo ndo ukweli mtake msitake!
Jisemee nafsi na familia yako. Usijumuishe waafrika woteWatu watabisha saanaa! hadi ndimi zipate moto ila kiukweli sisi waafrika uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kukabiliana changamoto hatuna. huo ndo ukweli mtake msitake!
Kama mwafrika ana uwezo mkubwa wa Iq angetengeneza mbinu ama system ya ku counter hayo madhila ya mzungu.Tukubaliane na ukweli kuwa waafrika eidha ni wavivu wa kufikiri au uwezo wao wa kufikiri ni mdogo.Kwanza tukubali kuwa kuna tatizo sehemu kisha tulishughulikie tatizo.AS IT WAS IN THE BEGINNING, SO SHALL BE AT THE END. BLACKS ARE THE FITTEST OF THE FITTEST. REMEMBER ONLY THE FITTEST SHALL SURVIVE.
NI UJINGA KUFANANISHA AKILI YA MTU MWEUSI NA MZUNGU KATIKA KUYAMUDU MAZINGIRA YAKE. WAZUNGU NI MAPARASITE. WANAISHI KWA KUNYONYA VIUMBE WENGINE. HAWANA UWEZO WAKUJIENDESHA WENYEWE NA HUWEZA KUSURVIVE KWA KUCREATE CHAOS, MISCHIEF, WICKED THEORIES, CREATING LIES FEAR, WAR AND CONSPIRANCIES.
BILA UWEPO WA HAYO HANA UMUHIMU WA KUWAPO. HE/SHE IS A DESTROYER OF LIFE. HE/SHE IS DYNAMIC OPPOSITE OF BLACK (LIFE GIVER).
HIVYO IQ NI WICKED THEORIES ZAKE KATIKA KUHAKALISHA UHARAMIA WAKE. WEWE UTAWEZAJE KUWADEGRADE WATU WALIOKUNYANYUA KATIKA ULIMWENGU WA USTAARABU? HUKUWA NA LUGHA UMEPEWA, HUKUJUA KUZIKA WAFU WAKO UKAFUNDISHWA, HUKUJUA KUJENGA LAKINI WEUSI WAKAKUFUNDISHA. HUKUJUA KUSAFIRI MAJINI, WEUSI WAKAKUONYESHA. HUKUWA UNA HERUFI KWA VIKE HUKUWA NA KUGHA. UNAWEZAJE KUSIMAMA NA KUONGEA UTUMBO KAMA HUO WA IQ?
HAYO MACHO YAO TUU TOSHA KUWA KIELELEZO CHA AKILI NDOGO ILIOJAZWA HILA NA UPOTOFU. BLUE RECESSIVE EYES HUTAFASIRI MAMBO NI NEGATIVITY TU. BLOOD CELLS ZAO ZIMEUMBWA NA SULPHUR KAMA MBWA, WATAFANANAJE NA SIE TULIE WATU KAMILI?
Ww peke yako ndo mwafrika mwenye uwezo Mdogo wa kufikiri !!!Watu watabisha saanaa! hadi ndimi zipate moto ila kiukweli sisi waafrika uwezo wa kufikiri, kuchanganua na kukabiliana changamoto hatuna. huo ndo ukweli mtake msitake!
Mi nadhani waafrika eidha ni wavivu wa kufikiri au uwezo wao wa kufikiri ni mdogo.Kwanza tukubali kuwa kuna tatizo sehemu kisha tulishughulikie tatizo kwa sababu kama ni ubaya wa wazungu ndio umefanya tuwe hivi basi kwa kuwa mwafrika ana uwezo mkubwa wa Iq angetengeneza mbinu ama mfumo wa kukinza hayo madhila ya mzungu.Uwezo wake haujitokezi katika kukabili changamoto zinazojitokeza katika mazingira yake ni heri majanga yanayotokea uko ughaibuni yaendelee kutokea huko huko vinginevyo tungekuwa extinct.
IQ is a very useless measure...binadamu tuna uwezo tofauti ktk kila jambo...huwezi mchukua mbuzi na samaki ukawashindanisha kuogelea kwa kutumia kizio kimoja,samaki atashinda tu,ukiwashindanisha kutoa maziwa mbuzi atashinda tu....IQ ndio inashindanisha wanadamu built for different geniuses kwa kutumia kizio kimoja....huu ni ukichaa kiwango cha lami