Ikivunjwa MoU itakua poa sana mashule yote yaliyokua chini ya kanisa yarudishwe, hospitali zote teule za wilaya (DDH) zirudi mikononi mwa kanisa. Serikali ibaki na shule zake za kata, na hospitali moja tu ya Muhimbili. Waraka wa wakristo uliosomwa siku ya X-mass uliitaka serikali iweke wazi MOU kwa wananchi na serikali imeshindwa kufanya hivyo mpaka Leo. tunaomba hiyo MOU ivunjwe kabisa Nina hamu kubwa sana ya kuoana shule zetu Kama Pugu, Tosamaganga, Iringa Girls, Kigonsera, Bwiru na nyingine nyingi tu zikirudi mikononi mwa kanisa