Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Wakithubutu tunavunja MoU kama hawajafa na NJAA.
Hawana kazi ya kufanya hao! Nisawa nakutishia kujamba wakati unaharisha kanisa lenyewe linaendeshwa na serkali alaftena kanisa hilohilo linataka kuisusa serkali? Wajaribu kama hawajafunga Hospital na mashule yao.
Nasikia KCMC ina hali mbaya baada ya JK kusitisha maruzuku...ngoja zitajifunga tu.
kama wananchi wa nchi hii wangekuwa makini Wakiristo na waislamu kwa pamoja wanatakiwa kuitenga serikali hii ya ccmLeo nikiwa kijiweni kwangu hapa Ng'ambo Tabora..mtaa wa Kiyungi-(Asante kwa Air Tanzania mana tunapata sasa magazeti ya leoleo).. Nimepitia Gazeti la Mawio,moja ya habari kubwa ni Mkutano wa Jukwaa la Wakristo chini ya U/kiti wa Askofu Ngalalekumtwa(TEC).
Askofu Kitula(CCT) na Askofu Batenzi(PCT) Kwamba ifikapo 1 Julai,kanisa liwatangazie waumini kuwa wao wamesitisha uhusiano na serikali,yaani kutowaalika viongozi wa serikali ktk shughuli za kanisa,na wao viongozi wa kanisa kutohudhuria pale wanapoalikwa na Serikali...
Viongozi hao wamesema Serikali imeshndwa kuchukua hatua kwa madai mengi,kama vile "baadhi ya wanasiasa wa chama tawala wamediriki kulieleza Bunge kwamba Chadema ni chama cha Wakristo".....pia kitendo cha Usalama wa Taifa kufanya njama na kumwambia Pengo kuwa mlipuko wa Arusha ni tukio la Kigaidi hata kabla ya uchunguzi...kwa utamu zaidi Gazeti la Mawio la leo.....
My Take: Je kitendo hiki ni suluhu kwa mustakabari wa Taifa?
Wakithubutu tunavunja MoU kama hawajafa na NJAA.
Mkuu barafu , Julai 1 Mbona Mbali sana, mie ujumbe wao nimeshaupokea Tayari.
Mie na Familia Yangu tutakuwa wanachama hai wa CDM, hii itaisaida Kuwaondolea Dhambi Magamba ambayo Kila siku ya hubiri Uongo kuwa Wa Kristo wote ni CDM.
So next time yakihubiri kuwa wakristo wote ni CDM, Hatakuwa yanapata Dhambi ya Kusema Uongo coz huo ndo utakuwa ukweli wenyewe tofauti na Sasa
Hii habari nimeisoma kwenye gazeti ya Mawio nikashtuka siyo kidogo ila sana. Naona kama hili siyo jambo dogo. Sababu walizotoa ni kwamba watu wanauliwa lakini hakuna follow-up yo yote. Sababu nyingine ni kwamba makada wa CCM wadai wao wako Chadema. Hata kama wengine watatukana ni kwamba siasa za maji taka ndizo zimewafikisha hapa. Wako viongozi ambao kila kukicha wanadai Chadema ni chama cha kanisa. Lakini wakati uo huo wako Wakristo kibao kwenye vyama vingine hata kile cha CUF ingawa kiongozi wake anatangaza hicho ha kwake ni cha Kiislamu. Sasa nini kifanyike? Nashauri wasilete mtafaruku zaidi bali itafutwe njia nyingine ya kuleta muafaka. Hivi kuna raha gani tunapoangalia yanayotokea Syria? Watu kibao wanakufa na wanaendelea kufa huko Nigeria, Mali na kwingineko. Aidha, maelfu kwa maelfu huko kaskazini mwa Uganda wamekufa na pengine wanaendelea kufa. Mimi ninaogopa. Ninaomba tusishabikie hili si jambo la kufurahisha ika ni la kusikitisha sana. Njia sahihi za kuondoa huu udini ambao umeanza kuota mizizi zitafutwe. Isionekane kama kuna dini iliyo juu ya nyingine. Nafahamu wako wachangiaji watakaotukana kama ilivyo jadi yao. Sitajali kwa kuwa hayo ni malezi na wala siyo makosa yao.
Mabilioni myapeleke msikitini au madrasa, maana hamkujenga mashule wala hospitali? Kila lilipokua linajengwa kanisa katoliki tulihakikisha tunajenga shule, vyuo vya ufundi na mahospitali tukijua ni mahitaji muhimu kwa binadamu. Pia mtafute mtaalamu wa afya akueleze kwa Nini waliamua kuzichukua hospitali za kanisa na kuzifanya hospitali teule za wilaya akikueleza kwa kina ndo uje hapa utoke povu ukitaka na Nyie mpewe hiyo mamilion.imeshondwa kueka wazi mana na waislamu watataka wapewe mabilioni ya pesa kama tunayopewa sisi
Leo nikiwa kijiweni kwangu hapa Ng'ambo Tabora..mtaa wa Kiyungi-(Asante kwa Air Tanzania mana tunapata sasa magazeti ya leoleo).. Nimepitia Gazeti la Mawio,moja ya habari kubwa ni Mkutano wa Jukwaa la Wakristo chini ya U/kiti wa Askofu Ngalalekumtwa(TEC).
Askofu Kitula(CCT) na Askofu Batenzi(PCT) Kwamba ifikapo 1 Julai,kanisa liwatangazie waumini kuwa wao wamesitisha uhusiano na serikali,yaani kutowaalika viongozi wa serikali ktk shughuli za kanisa,na wao viongozi wa kanisa kutohudhuria pale wanapoalikwa na Serikali...
Viongozi hao wamesema Serikali imeshndwa kuchukua hatua kwa madai mengi,kama vile "baadhi ya wanasiasa wa chama tawala wamediriki kulieleza Bunge kwamba Chadema ni chama cha Wakristo".....pia kitendo cha Usalama wa Taifa kufanya njama na kumwambia Pengo kuwa mlipuko wa Arusha ni tukio la Kigaidi hata kabla ya uchunguzi...kwa utamu zaidi Gazeti la Mawio la leo.....
My Take: Je kitendo hiki ni suluhu kwa mustakabari wa Taifa?
Hata mimi nimesoma ile article,nimestuka na kushangaa, nasubiri hiyo siku tukiwa ibadani kusikia hiyo kauli ya kurudisha kadi za ccm ikitoka kwa mchungaji wangu,binafsi nachukizwa sana na kauli hii ya wana ccm kuwa cdm ni chama cha wakristo hata sijui huwa wanamaanisha nini lkn kwa tamko hili la viongozi wa kanisa nadhani watafakari upya au muandishi ameweka yake......nasubiri hilo tamko kanisani.