Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,729
- 8,806
Mzee wangu! Hujazeeka tu bali akili zimekuruka.Uzee hauna hodi jamani, leo hii sijui kinachosemwa hapa, kweli jua linazama...
Lengo la tendo ni nn? Kupata raha au karaha?vumbi la kongo ni kiboko ya masista duu, kiboko ya wale wa 'tuma na ya kutolea'
kiboko ya wale wapiga vizinga, unasugua mpaka unanusa harufu ya vitumbua kmmmk
muhimu nikojoe mimi sio yeye,Lengo la tendo ni nn? Kupata raha au karaha?
What needed is satisfactory kwa both sides, less or excessive ni unsatisfactory. Unaeza sugua kumtoa kwenye mood asikojoe anaeza cheza nae kwa touching, kisses and other stuff akakojoa mara kadhaa na aka-enjoy hardly na lastly ukaja ukazama ukapiga misuguo yako kadhaa ya kimahaba na ya kuridhisha ukabaki kuwa mwanaume bora mwenye uwezo mkubwa wa kumkojolesha bibie... mapenzi siyo ya kukamiana namna hiyo kama kupasua miamba. Love is just an art ubunifu unatakiwa sana.
Ubinafsi mbaya sana huo na utagongewa sana na wakojozaji!!muhimu nikojoe mimi sio yeye,
Kama huna nguvu au una njaa usitumie LITAKUUAKama mada inavyojieleza
Naomba kujuzwa kinaga ubaga madhara ya kutumia vumbi la Congo
Kwa upande wa Viagra ni rahisi kudead hasa show ikiwa Kali
Je, kwa vumbi yapi madhara yake?
haha, wagonge tu, hawaondoki nayo lakiniUbinafsi mbaya sana huo na utagongewa sana na wakojozaji!!
Mi nikinywa pombe hizi dry ndio madumu kwelikweliKama huna nguvu au una njaa usitumie LITAKUUA
vumbi lina maajabu gani mzoefu tuelezeMadhara makubwa ni kukosa confidence kama huna vumbi. Pili ukimzoesha mtu vumbi siku kama halipo atajua ushapiga nje au huna hisia nae tena au atajua umepungua uwezo. Hivo unakuwa mtumwa wa vumbi kila mechi.
Tangu nianze kutumia vumbi nishatumia vichupa viwili tu vya @ 5000. Huwa hainipi mzuka unakuwa kama unamfurahisha mtu, ni la kutumia kwenye emergency.
mzee inaonekanavumbi la kongo ni kiboko ya masista duu, kiboko ya wale wa 'tuma na ya kutolea'
kiboko ya wale wapiga vizinga, unasugua mpaka unanusa harufu ya vitumbua kmmmk
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee wa ManzeseMi nikinywa pombe hizi dry ndio madumu kwelikweli
Halafu mi sijawahi kutumia majuzi nimelinunua kwa mara ya kwanza nimepaka sioni dalili sijui kuchoma kama limeingia
Nimeenda kwenye game hamna kilichobadilika uwezo wangu ni ule wa siku zote hivi shida inakuwa ni nini ?
Au nakosea kwenye upakaji