Madhara ya ulevi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya ulevi

Discussion in 'JF Doctor' started by Viol, Dec 10, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Naomba mnisaidie kunielewesha,kuna baadhi ya walevi unakuta amevimbiwa mashavu yaani unaona kama kuna dalili
  flani ambayo siyo ya kawaida,je hiyo inatokana na nini ??
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kaka umeuliza jambo la maana.ila nikikumbuka vitu vyako kuleee kwenye jukwaa letu la utani. Nikiunganisha na hilo neno ulilotumia hapo juu"MASHAVU KUVIMBEWA" teh teh! Ngoja waje wenye nyumba watakujibu.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kaka si unajua wasomi wa arts hawajui majina ya kisayansi,kwahiyo sijui ni masharubu.
  but sema kweli nimewaona watu wengine wanavimbiwa maeneo ya uso,na matibabu yake yanakwaje!ila ngoja tuwasubiri
  wataalamu
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  japo sijakuelewa vizuri unacho maanisha kati ya kuvimbiwa = kuvimbiana? Au kuvimbiwa =kitendo cha kuvurugika tumbo kunakotokana kula kupita kiasi? Kama ni kuvimbiana mashavu hata mimi hili huwa naliona hasa kwa wale wanao tumia pombe kali na wale wanaotumia pombe za kienyeji.(mataputapu) wakati tunaendelea kusubiri ma drs,naomba unieleweshe mkuu.
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mkuu mi hapa namaanisha kuvimbiana mashavu,nimeona wale wanaotumia pombe kali na kienyeji kama gongo
   
Loading...