Igunga kuna wanaume? Mmeshajifia zamani na midawa ya wadudu na moshi wa tumbaku. Nani alileta shanga mjini halafu ukamuona karudi kijijini kupakwa jasho?Na mkiwagonga hawasikii chochote wanarudi Igunga kila weekend. Kazi Dar mapenzi mikoani
hahahahaha povu linakutoka.. kwani umeambiwa viazi matumizi yake ni chipsi tuSasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
We nae acha kujitia mjuaji sana,kwani huoni kua uzi huu ni wa utani wa jadi?kila kitu unatake serous acha mambo yako,kama hujui huu utani tulia usije chefua watu saa hizi.Ama kweli akili ni mali, kwani na wewe unaweza kuishi bila kula? Mshukuru Mungu vyakula vyote vinapatikana kwa urahisi hapa tz.
Utani tu mjomba usichukulie kila kitu serous utakufa mapema kwa mawazo,kwa taarifa yako mada hizi ukichunguza kwa undani zinaanzishwa na watu ambao wako dar na ni walaji wa chipusi.Katika mada ambazo huwa naona za kipumbavu ni hizi kwa nini tunaanza kubaguana kwa vitu vidogo eti yule mwanaume sijui wa wapi huyu wa wapi jamani tanzania ni yetu sote kila watu wana staili yao ya maisha tuachane na hivi vitu havitujengi kabisa kama unajua vyakula flani vina madhala kwa mtumiaji jalibuni kutoa elimu kwa walaji sio kukejeliana tanzania ni yetu sote tupendane ukiona mwenzako anakula kibovu muelimishe tujenge taifa la watu wenye afya imala.
Povu langu ukilichunguza utahisi kuna harufu ya vyakula vyenye kiwango cha phd,wewe wa porini vipi?hahahahaha povu linakutoka.. kwani umeambiwa viazi matumizi yake ni chipsi tu
ulitaka tuanzishe shindano la kula mlundikano wa ugali asubuhi?then mbona afya zenu ziko ovyo sana kulinganisha na hao wa chips?
Mbona mwandiko wako umelegea mkuuHakuna atakaekwenda mchangani,wewe ulishasikia wapi kwamba mchumia kivulini ula juani?
Unamaanisha lile shindano wanzilishi ni jamaa zake KAOGE? wewe, KAOGE na waanzilishi wa lile shindano wote kaya moja! Endeleeni kulima, sie huku tunawalisha dada zenu, kisha TUNACHEKA KWA DHARAU!
wanajitia wakakamavu sana kumbe lonya lonya tu!!Unamaanisha lile shindano wanzilishi ni jamaa zake KAOGE? wewe, KAOGE na waanzilishi wa lile shindano wote kaya moja! Endeleeni kulima, sie huku tunawalisha dada zenu, kisha TUNACHEKA KWA DHARAU!
tutakula wenyewe na dhiadaSasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Naomba Chipsi Zege isikauke sana changanyia na kachumbari mix mix tia pilipili....tomato redgold chumvi weka pembeni usisahau na ukwaju..
Mwambie wavinywaji alete Pespi bariiidi nikiwa nasubiria
Muulizie mwandishi wa habari amekuwa mwana sayansi? Waandishi wenyewe ukiwapa laki tu wanaandika uzushi unaotaka.Hivi wewe na akili yako mafuta ya milimita 250 katika sahani moja hivyo viazi si vingekuwa vinaelea? alafu unasema utafiti wa muda mrefu.Ni pumba tu na hilo gazeti liwaombe radhi wasomaji wake kwa kudanganya umma.
mkuu umewamaliza kabisa, wanapita kimya kimya!wanajitia wakakamavu sana kumbe lonya lonya tu!!
Unywaji wa viroba washamiri na kuwa tishio mikoa ya Kagera na Mwanza
Bahati mbaya sana, nyie ni hohehahe, hamwezi kuacha hata kimoja. Coz mnakula chipsSasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Tanzania ni kubwa mno, ina mikoa 28 Dar ni Mkoa mmoja tu, mkigoma tutauza mikoa 27 iliyobakia na tutakuwa Poa tu.Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Yereuuwwwiiiii na mbavu zangu....Kuwa serious kidogo yaani gazeti liombe radhi wala chips?
mta survive vipi sasa na nyie? wapi wakiweka mgomo wakulima na wanunuzi nani ataumia zaidi?Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.