Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,419
- Thread starter
-
- #41
Waandikie Mtanzania wafanye marekebiaho kama unadhani ni makosa lakini usinitolee povu mimi kwa sababu sijakulazimisha kufakamia machips haya yaliyopikwa kwa mafuta ya transfoma. Typo ya mwandishi (mzembe) haibatilishi utafiti wote. Hasa hasa wataomba msamaha na kusahihisha kosa basi.Hivi wewe na akili yako mafuta ya milimita 250 katika sahani moja hivyo viazi si vingekuwa vinaelea? alafu unasema utafiti wa muda mrefu.Ni pumba tu na hilo gazeti liwaombe radhi wasomaji wake kwa kudanganya umma.
Utafute uusome utafiti kwa kina mkuu. Na kama unajua sayansi inavyofanya kazi, matokeo yake yanapaswa kuwa ni yale yale kama tukitumia utaratibu ule ule uliofanywa na watafiti. Sasa wewe umeanza tena kuingiza variables zingine za chips na mafuta ya Singida. Tafiti za kisayansi huwa hazifanyi kazi namna hiyo mkuu!Huu utafiti bado una mushkeli!?
Chips zinazotengezwa kwenye friers na mafuta mazuiri kutoka Singida vip !?
Hawa jamaa wa ajabu sana wakati mwingine wanakula chips na kokoto.Wanaume wa Dar hawa😀, eti festival ya wala chips, majanga matupu😵😵,,mbavu sina
wakati huo nyie mtakuwa mnakula nn??kwl nyie poyoyoSasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
hilo ni gazeti gani?
Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
we nae ni mzaramo halisi au poli.leo hii wa tandahimba naww umekuwa wa dar na kashfa kibao.acha ulimbukeni dogotatizo lenu wa vjijin mmedumaa kwa pombe za kienyeji, mnakula dona/harage alaf mnaenda kulichanganya na komoni,nipa. ndo mana utakuta kijana wa miaka25 ukimleta dar tunamuita babu
tatizo lenu wa vjijin mmedumaa kwa pombe za kienyeji, mnakula dona/harage alaf mnaenda kulichanganya na komoni,nipa. ndo mana utakuta kijana wa miaka25 ukimleta dar tunamuita babu
Mtakufa faster maana kila mnachokula chatoka mashambaniSasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.
Kwani huko nje vinalimwa mijini?tunampa tenda bakhresa na mkapa waagize nje
Hakuna atakaekwenda mchangani,wewe ulishasikia wapi kwamba mchumia kivulini ula juani?Magufuli amesha sema wa Dar wahamie Dodoma
Ama kweli akili ni mali, kwani na wewe unaweza kuishi bila kula? Mshukuru Mungu vyakula vyote vinapatikana kwa urahisi hapa tz.Sasa tukiacha kula hiyo kitu si mtakufa njaa na familia zenu huko kijijini?viazi mnavyolima mtamuuzia nani?mtushukuru sana nyie watu pori,na siku tukisema hatutaki mchele wenu,viaz vyenu na mihogo yenu,tumewamaliza hakika.