Madhara ya Sukari kwa binadamu



Japo nafahamu kwamba zote zina madhara katika mwili wa mwanadamu, Je kuna ufafanuzi wa kidaktari/kitaalamu kati ya kutumia sukari nyeupe na sukari ya brown? Ni ipi ina madhara zaidi?
Mkuu sukari ni mbaya mno endelea kutonunua
Halafu ni ghali
Inapunguza nguvu za kiume
Ni mbaya mkuu
 
Back
Top Bottom