Madhara ya Serikali ya Mseto

Hapa umetupa madhara, hebu tupe na faida zake alafu tuache tu compare
 
Hahahaha unadhani Upinzani umejaa mbumbumbu kama CCM?

Endelea kuota, bado hamkubali kuwa SSH ndio Raisi
Nani hajakubali sasa?

Sisi ccm tunajua chama chetu ndio kipo madarakani na rais wetu ni Samia.

Ila kikubwa kilichoongezeka sasa hivi ni kwamba tumepata uungwaji mkono toka kwa vyama vyote hasa chadema.

Bila shaka 2025 tutampigia kura mgombea wa ccm kwa nguvu zote ili mataga waendelee kukomolewa!
 
Hahahahaa lool.... hahaaaa

Kaazii kwelii kwa upinzani huu wa kufwata upepo!
 
Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.

Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.

Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.

Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.

Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.

Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.

Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".

Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.

Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
Hakuna pahali katika hotuma ya rais amesema kuwa ataanzisha serikali ya mseto, labda mwenzetu kama hujui maana ya neno "Serukali ya Mseto"

Hii ndio kauli ya Rais

"Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania"
 
Haya
 
Wapinzani mukipewa nafasi ipokeeni kwa mikono miwili.
Lengo la SIASAza upinzani ni kuwasaidia wananchi kupata maendeleo kwa haraka na kuibua hoja mbadala. Sio kulumbana na kuapizana tuu.
Serikali ikikubali kukosolewa na kupokea maoni mbadala imejipumzisha na minyukano na wapinzani.
 
Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.

Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.

Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.

Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.

Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.

Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.

Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".

Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.

Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
Kuna wapinzani na viatu Seif,(Rip) kipindi kile alikua makam wa pili Zanzibar but alichofanyia ccm 2015 mpaka uchaguzi kufutwa na Jecha hakikua Cha dunia hii, so MKUU watanzania sio wajinga mnakula sahani moja but bado maslai ya chama yanabaki pale japo sio vyama vyote wapo viongozi wa namna iyo Kati ya vyama 13 utaipata kimoja
 
Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.

Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.

Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.

Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.

Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.

Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.

Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".

Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.

Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
Hivi haya maneno wewe umeyatoa wapi? Kama ni kwa mama SSH hakusema hivyo. SSH kasema atateuwa watanzania wenye weledi bila kujali itikadi zao kwenye seriakali yake. Hili limeshafanyika ni muendelezo. SSH kasema mara nyingi yeye ni muendelezo wa JPM. JPM alimteua Prof. Mkumbo, Mtatiro, Machali, Kafulila nk na kuwaweka serikalini
 
Hakuna pahali katika hotuma ya rais amesema kuwa ataanzisha serikali ya mseto, labda mwenzetu kama hujui maana ya neno "Serukali ya Mseto"

Hii ndio kauli ya Rais

"Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania"
Kwa maneno hayo ni dhahiri huko nyuma watu walikuwa wakiteuliwa/ajiriwa kwa kufuata itikadi zao na wale waliounga mkono juhudi. Sasa rais wetu wa sasa anataka kuachana na msimamo huo, na si kuunda serikali ya mseto. Maendeleo hayana vyama.
 
Ccm daima mnaiba kura ili tu mubaki madarakani na kuendelea kuibia nchi! Watazame viongozi wa ccm wana mali kiasi gani ukimwondoa Nyerere! You pretend kuwajali masikini kumbe yote ni danganya toto!!
 
Kwa mfano kwa nini mkurugenzi awe ccm kama serikalini kuna wengi wazuri hata wasio na vyama??? Mtawala wa aina kani anayechagua kiongozi aliye kama CD wa Hai, DC wa Meru, aliyekuwaRC wa Manyara na wa Kinondoni!!! Shame!!
 
Back
Top Bottom