madhara ya pombe kwenye mwili


S

Sunga

Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
90
Points
95
S

Sunga

Member
Joined Mar 22, 2012
90 95
Wana JF naomba nisaidieni nataka kuacha pombe ila nashndwa. halafu mbona nikinywa pombe usiku niki amka mwili wangu unakua unapungua je nimadhara gani naweza kupata baadae?
 
M

Museven

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2011
Messages
399
Points
195
Age
49
M

Museven

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2011
399 195
athari kuu ya pombe ni kuwa inaua chembe hai (cells) za ubongo. Na kwa tabia ya cells hizo, ukishakuwa mtu mzima, zikifa hakuna zinazozaliwa. Hivyo zitakuwa zinapungua tu. Hatimaye utaanza kuonesha dalili za uchizi mf. Ukali au upole usioelezeka. Ukifikia hatua hiyo, hata ukiacha pombe, huwezi tena kurudi katika hali ya kawaida. Sasa amua mapema kunyoa au kusuka.
 
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
3,541
Points
2,000
Age
39
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
3,541 2,000
Unanyegenyeka muda wote unataka uwe juu ya 6"6.
 
ngoshwe

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
4,133
Points
1,250
ngoshwe

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
4,133 1,250
Mrudie YESU mambo yote kwishne Mkuu. Dawa ya kuacha pombe ni BIBLIA
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,213
Points
2,000
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,213 2,000
Kimbia chama mkuu na rudisha kadi
 

Forum statistics

Threads 1,295,847
Members 498,410
Posts 31,225,240
Top