Madhara ya muda mfupi na muda mrefu ya ukeketaji

Madhara ya muda mfupi na muda mrefu ya ukeketaji

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
706
Reaction score
1,230
20210206_151420_0000.png


Ukeketaji unakwamisha utendaji kazi wa asili wa mwili wa mwanamke na una madhara makubwa kwa afya ya wanawake na wasichana, ikiwa ni pamoja na afya yao kisaikolojia, kimahusiano na afya ya uzazi.

Kifo kutokana na kutoka damu nyingi na maumivu makali

Uharibifu mkubwa wa mfumo wa nje wa viungo vya uzazi na maambukizi

Maumivu makali ya muda mrefu Maambukizi ikiwemo maambukizi ya mara kwa mara ya njia ya mkojo

Kupungua kwa raha ya kujamiiana. Madhara ya kisaikolojia, kama vile msongo wa mawazo utokanao na maumivu

Kuongezeka kwa hatari za kujifungua kwa njia ya upasuaji

Kuongezeka kwa vifo vya uzazi

Kuongezeka kwa hatari za vifo vya watoto wachanga

Kongezeka kwa hatari ya watoto kuzaliwa kabla ya muda
 
  • Thanks
Reactions: gys
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom