Madhara ya mimba kukaa kifuani

natumai nyote mko poa.
mke wangu kawa mjamzito yapata wiki 3 mimi na yeye tunavutana akidai ujauzito umekimbilia kifuani na ipo dawa ma mkwe anataka alete ivaliwe kuzunguka kifua km ilizi vile et ndo inashusha mimba kuludi tumboni!
je hii ni kweli?
je kuna shida gan asipotumia hiyo dawa
NAWASILISHA
Habari!

1: Ni vyema ungechukua nafasi kueleza amejuaje au anajisikiaje mpaka kusema mimba iko kifuani?

2: Ni muhimu pia kufika kwa daktari amsikilize vyema, kumpima kama kutahitajika na kuwapa ushauri au tiba.
 
Kwa sababu hii tu haitoshelezi kuisema mimba kuwa kifuani.

Inawezekana kuna mengine zaidi ya hayo maana mauzauza huwa ni mengi kwenye hiki kipindi.

Ingawa ni vyema kupata ushauri kwa kumpa nafasi aonane na mtaalamu wa afya amsikilize.

Ni mtumiaji mzuri wa ndimu na pilipili?
dimu anatumia pilipil hatumii
 
Mama mkwe anataka kuwapa dawa kamimba kenu katoke. Usimsikilize..

Kwanza ndo vizuri mimba ikikaa kifuani, mtu anajinenepa maziwa. Tumbo halitosonga sana mbele.

Kuna shoga angu mimba yake ilikaa kiunoni 🤣🤣 miezi 7 yuko kama hana mimba. Katumbo kalichomoza mwishoni.
 
aaah aaah haya bana 😃😀👍
 
natumai nyote mko poa.
mke wangu kawa mjamzito yapata wiki 3 mimi na yeye tunavutana akidai ujauzito umekimbilia kifuani na ipo dawa ma mkwe anataka alete ivaliwe kuzunguka kifua km ilizi vile et ndo inashusha mimba kuludi tumboni!
je hii ni kweli?
je kuna shida gan asipotumia hiyo dawa
NAWASILISHA
Wasikuperekeshe mimba zinakua tofauti tofauti ndo maana unaona mimba zingine ziko juu kifuani zingine ziko chini hayo ni maumbile ya Mungu tu, tena mimba ya wiki tatu huwezi kuitambua kwasbb haina uzoto hata wa robo kilo. Labda ana magonjwa yake tofauti ila sio mimba.
 
nakubali mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom