acha uboya,usipoteze hyo fursa,watu wanatafta sana fursa za namna hyo,unataka uendelee kupata kama yule wa kwanza sio?we unaonekana bado unampenda yule wa kwanza ambae hakupend,pia bado unajipa matumain kua utarudiana nae,haya bwana,kuna mtu kakwambia mkataa pema...
We mbulula ulipokuwa unamtongoza hukujia kwamba humpendi acha ushamba wewe. Tatizo linalokusumbua ni kwamba unatafuta mwanamke ambaye yuko sawa Na Yule aliekuacha( wewe hukumuacha bali wewe) sasa ulipomtokea huyo ulikua atakuwa sawa sawa Na Yule cause ni marafiki kama unataka mke ni huyo kama unataka Demu nenda kimboka utapata
kama si chaguo lako mpaka hapo mlipofikia ulikuwa hujitambui?au unajifanya waweza sana kuchezea hisia za watu na kuna siku zako zitachezewanimeona siyo chaguo langu mkuu!!
Kwa nini huwi mkweli? Kisa cha kutuzungusha mpaka Mabwepande kumbe twaenda hapo Kawe ni nini? Nilimpenda sana msichana fulani, kanikataa nikampata rafikiye nikamtongoza kaniambia aliwahi kubakwa zamani lakini hana ukimwi.
SEMA SHIDA YAKO Tukujibu. Wewe unaonesha ni kinda sana, na haya mambo ya kikubwa kwako bado saana hujayafikia. Labda ndo maana yule wa kwanza aliku shit. Aliuona mapema utoto wako. Huyu wa sasa, wala usimzungushe saana, mwambie live mapema tu kwamba unatafuta aliye bikra ukatoboe mwenyewe baasi. Hatakurudia wala hatakulaumu
mbona unanitisha badala ya kunishauri tena mkuu,..
hayanichanganyi mkuu sema natafuta njia ambayo nitamuacha asiumie,...
USIMLAUMU, INAONEKANA BADO NI UNDER 18. CHEKI APA,We mbulula ulipokuwa unamtongoza hukujia kwamba humpendi acha ushamba wewe. Tatizo linalokusumbua ni kwamba unatafuta mwanamke ambaye yuko sawa Na Yule aliekuacha( wewe hukumuacha bali wewe) sasa ulipomtokea huyo ulikua atakuwa sawa sawa Na Yule cause ni marafiki kama unataka mke ni huyo kama unataka Demu nenda kimboka utapata