Madhara ya kuvaa chupi

madhara makubwa ni dushelele kupinda
 
madhara makubwa ni dushelele kupinda

Linapinda kuelekea chini au juu...?
kulia au kushoto..? Jamani chupi ni vazi nyeti
sana la nyetini hivyo ni vema likaendelea
kuvaliwa kwani kwa dunia ilivyo sasa unaweza
ukajikuta hasa mwanamke umekaa huku jicho
chono likiwa linatabasamu watu wakabaki kupeleka signals Angola.
 
Nikiwa nyumbani either mchana au usiku sivai ila kwenye mizunguko ya kila siku chupi lazima kwangu

Ndio maana kila nikikuona nakuwa na hali mbaya.
 
Hivi chupi kazi yake nini ukikaa vibaya ikionekana unaambiwa uko uchi usipovaa unaambiwa uko uchi
 
Upepo wa home unatosha, kwenye mizunguko naogopa singida- dodoma

Naunga mkono hoja, acha upepo upeperushe nyasi na upenye sehemu zote, ila mhmh umeamsha kobole huku,niambie tu upo wapi sahvi mayb naweza calm down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…