Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Picha nishapata..Kama nakuona vileHahahaa ili upate picha?

Juzi mmesema tusivae skintight tukawasikiliza,mkasema hata shumizi tusivae kabisa tuvae chuppi tu
LEO TUSIVAE CHUPI KABISA? Hivi zaidi ya suruali ni nguo gani haswa ya kazini unaivaa hvyo hvyo bila chochote ndani?
JAMANI AU MNADHANI WOTE TUNASHNDA NYUMBANI

hivi kuna suruali mnavaa bila kyupi?
Mimi siwez tembea bila kyupi jamani duh
Vaeni boxer
Juzi mmesema tusivae skintight tukawasikiliza,mkasema hata shumizi tusivae kabisa tuvae chuppi tu
LEO TUSIVAE CHUPI KABISA? Hivi zaidi ya suruali ni nguo gani haswa ya kazini unaivaa hvyo hvyo bila chochote ndani?
JAMANI AU MNADHANI WOTE TUNASHNDA NYUMBANI
Acha fangas waje,ila siwezi tembea uchi kwa kiwango hichoEm imagine umetupia kagaun Kako ofisini bila kyupii,mhhh ngumu kumeza
Acha fangas waje,ila siwezi tembea uchi kwa kiwango hicho