Sasa Miss Natafuta, kipi bora! kuumwa UTI mara kwa mara au kununua chupi za cotton? Halafu anayenunua sio wewe, wewe agiza tu, au sema sina chupi uone!. Lazima shemeji ataleta tu.
Mabadiliko ya tabia nchi hayana muda maalum. Unaweza usivae halafu ghafla mambo yakawa sio mambo na hela ya taxi huna.