Madhara ya kureset simu mara kwa mara.

Madhara ya kureset simu mara kwa mara.

whizzkid

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
58
Reaction score
5
Habari zenuu,

nauliza kama kuna madhara yoyote ya kureset simu mara kwa mara.
simu yangu ina internal space ndogo sasa huwa nina tabia ya kuireset pale itakapokuwa imejaa kwa sababu inakuwa imezidiwa hairespond kitu chochote. sasa sahivi naona imekuja na tatizo la kuzima yenyewe, kuwasha hadi nitoe betri af nweke tena.
je hili tatizo limesababshwa na kureset?au ni nn?
 
Sidhani...may be hiyo simu ni kimeo tu(over 1 yr used)
 
Haina madhara ila sioni sababu ya Ku reset kama imejaa unaondoa application usiyotumia mara nyingi na suala lakuzima hutokea hasa nimeiona kwa simu za Nokia lakini ukitoa Betti inawaka kawaida isikupe hofu.
 
Na iwe faida kwa wengine
.
Kufanya hard reset kwenye NOKIA SERIES 40 kunaweza kumgharimu mtu
especially tatizo linalo wakumba wengi ni BROWSER kutofunguka na hivyo basi kukosa access kabisa ya internet....
.
Na wale wa X2-01 => nakuendelea
tatizo ni ku loose CERTIFICATE hii husababisha kushindwa kabisa ku install baadhi ya apps na kukosa access ya OVI SUITE
.
Na wale wa ASHA wawe makini
.
Kama huzijui series 40 ni zipi tizama hapa japo kuwa baadhi hazikuingizwa google will help you
.
LIST OF NOKIA SERIES 40 --- 2011
 
Da! Mkuu umenigusa hapo kwenye browser kujifunga. Mimi natumia Nokia C2 siku moja nikawa nataka kuingia Facebook kupitia hii native browser nikaletewa ujumbe Kuwa new version of browser available. Nikataka ku up grade nikapata warning Kuwa new browser ina kinzana na original one. Mimi nikalazimisha ku up grade matokeo yake imejilock hakuna ninachoweza kufanya kupitia hii browser. Hata yuotube inagoma. Sasa Mkuu hakuna ujanja wa kuifanya ifanye kazi kama awali. Heshima kwako.
 
Sijajua kama kuna uwezekano waku i downgrade mkuu!
Lakini let me do survey for you!
.
Nita ku PM! mkuu
C++
 
Back
Top Bottom