Madhara ya kupenda kuficha mambo

Manguson

Member
Jul 5, 2013
15
3
Mama mmoja alibakwa na jamaa fulani akachukua hatua ya kumfungulia mashtaka gerezani huyo jamaa,kesi ikaanza kama ifuatavyo;
Hakimu:mama naomba uileze mahakama kinagaubaga malalamiko yako
Mama:mheshimiwa huyu baba alinioa juzi usiku
Hakimu:mshtakiwa,una la kusema?
Mshtakiwa:ndio mheshimiwa hakimu,huyu mama nilikua nimemuoa,kutokana na kutoelewana niliachana naye
Hakimu:mtuhumiwa,mahakama imefuta kesi yako baada ya kukuta hauna hatia.
NI NINI MAONI YAKO KWA HUYU MAMA?
 

philipo E N.

Member
Oct 14, 2013
19
3
Hahahahaa! Inaonekana Huyo Mama Hakubakwa Ila Alipewa Vya Moto Ktk Ile Sector Ya Malavooo,baada Ya Maumivu Makal Akachanganyikiwa Moja Kwa Moja Akaenda Mahakaman Bila Kujitambua.Ndio Maana Shtaka Liliongelewa Kipindi Akil Zake Zimerudi. Ndiyo Maana Hakusema Amebakwa.Au La Mama Hakuwa Na Kumbukumbu Kwakuwa Alipata Mnogoooo!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom