Sehemu ya nyuma ni maalum kwa kutolea uchafu( output)sasa ukiigeuza kuwa ni input lazima upate madhara makubwa sana! Hakuna dini yoyote inayo ruhusu uchafu huo labda dini za kishetani
dini imeruhusu? au wanatafsiri vibaya?
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.
Hapa ndo mnapokosea kusema sehemu ya nyuma ni ya kutolea uchafu. Vp sehemu ya mbele mkojo sio uchafu? Tafuteni namna nyingine ya kuwashawishi watu lakini sio kwa hoja nyepesi kama hivi. Kama ni kutoa uchafu hata papuchi inatoa mkojo
Ukisoma suratul baqra 2:230 iinasema wake zenu ni kama konde zenu basi waingilieni mpendavyo, maswahaba wakamuuliza ya a rasul hii aya inamaanisha nini, rasul akawaambia imeruhusu kuwaingilia wake nyuma na mbele maana inaitikadiwa mwanamke anamatundu saba, puani mawili mdomoni masikioni jumla matano na kwenye uchi na nyuma jumla mawili, kwa hiyo ukijumlisha yote unayapata saba. So wengi wanafanya mchezo huo kwasababu wamesoma aya hii na hadithi zake.
unaacha kutashauri tutumie kondomu unatushauri tuache we jamaa hatar sana
Siku nyingi zilizo pita nilikuwa nasikiaga tu kunamadhara makubwa ya kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile lakini wiki iliyopita ndo nimepata funzo la mwaka kwa macho yangu mawili kaka yangu mpendwa amefanyiwa oparesheni ya uume wake kwa sababu ya kuziba kwa mirija ya njia ya uzazi kama bado hayajakutokea acha yasije yakakukuta kama hayo