Madhara ya kulawiti

Juzi ulinichekesha sana wewe na mupenzi wako kwenye kipindi cha Friday night cha Sami sago eatv. Dogo hivi mishipa ya aibu imekukatika?

huyu sio nuh mziwanda wa shilole ni jina tu
 
unaacha kutashauri tutumie kondomu unatushauri tuache we jamaa hatar sana
 

Hapana, si sahihi kwa hiyo tafsiri yako. ..
 

Kwanza unapotosha, Qur'an 2: 230 ni hii hapa:

2:230. Na kama amempa t'alaka (ya tatu) basi si halali kwake baada ya hayo mpaka aolewe na mume mwengine. Na akiachwa basi hapana ubaya kwao kurejeana wakiona kuwa watashikamana na mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na hii ni mipaka ya Mwenyezi Mungu anayo ibainisha kwa watu wanao jua. ***

Hiyo aya unayotaka kupotosha wewe ni 2:223, nayo ni hii hapa:

2:223. Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini. ***


Tupe ushahidi wa hiyo tafsiri yako potofu.

Hizo laana zenu zinawafanya mpaka mjitungie tafsiri zenu.

Konde zenu simply inamaanisha waingilieni mfano wa kondezenu, pale wanapoweza wakaleta mazao, ie. Kuzaa. Sasa ili mwanamke azae utamuingilia wapi? halafu konde zenu mkiziingilia hovyo bila kuzitunza, zitaleta mazao mazuri?

Fikiri ewe punguani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…