Billy_1225
Member
- Sep 11, 2016
- 5
- 2
Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya Madhara Ya Kula Mayai Yasipoiva Vizuri Kwa Afya - MUUNGWANA BLOG
ndo usome vizuri nini kina shida kwenye hayo mayai yote !!mbona wengine tunakula mayai mabichi kabisaa kama tiba ya kikohozi, hapo napata madhara gani
so ya kisasa tuu ndugu!! ndo maana mila zetu hapo zamani wanawake hasa wajawazito hawakulusiwa kula mayaoliMie najua hakuna shida. My be useme mayai ya kuku wa kisasa ntakuelewa