Madhara ya kujichuai.

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Wana JF haya ni baadhi ya madhara ya kujichua kama unayo na wewe umaweza ukatushirikisha.
1. Mtu aliyezoea kujichua huwa anaathirika kisaikologia wanapokutana na mwenzi wake huwa hapati raha kamili. Vilevile wakiwa kwenye uwanja na mpenzi wake hawezi kufanya vizuri mpaka avute hisia au picha ya mtu mwingine.

2. Mishipa ya mpini huregea na baada ya mda jogoo anaweza kuwa hawiki.

3. Madhara ya kemikari zinazotumika wakati wa kujichua kinaweza kikaathiri kiafya na matokeo yake inaweza ikasababisha ugonjwa wa kisukari.

Ndugu kama na wewe unajua madhara tuletee hapa tujue.
 
Back
Top Bottom