Madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara

Mkuu Mzizimkavu darasa zuri sana,vipi kuhusu mwanaume ambaye hajaoa kwa sababu uchumi mbovu,na pia hapendi zinaa,nini madhara yake kiafya?
Kutofanya zinaakusaidia kutopatwa na wewe maradhi.Ila haifai kupiga punyeto kuna madhara makubwa katika kupigapunyeto mkuu@BOWTHRUSTER
 
Mara 2 au 3 kwa wiki lkn he unapiga goli ngapi kwa kila game?. Assume mmoja anapiga goli moja kila usiku kwa usiku 7 yaan goli 7 kwa wiki na mwingine anacheza 3 kwa wiki lkn kila mchezo goli 3 yan goli 9 kwa wiki sasa hapo nani atakuwa ana madhara zaidi
Ukipiga goli 3 kwa usiku mmoja na ukimuwezesha mwenzi wako kufika kileleni inatosha mkuu Pawaga
 
Last edited by a moderator:
Ukipiga goli 3 kwa usiku mmoja na ukimuwezesha mwenzi wako kufika kileleni inatosha mkuu Pawaga

Umesema wanaume wanaobadili wanawake ndio wako kwenye risk hizo!!!!
Anayepiga wanawake wawili goli tatu kila mmoja mara moja kwa wiki na wewe wa goli sita kwa wiki kwa mwanamke mmoja mna tofauti gani???!!!
 
Last edited by a moderator:
katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.

Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari. Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.

Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika. Twende pamoja katika kutazama madhara hayo kwa kina.

kupoteza hamu ya tendo

watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara. Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.

Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.

kuujaza mwili tamaa kubwa

tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani?

Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake. Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi. Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi.

kupoteza raha kamili ya tendo

raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako. Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!

kupoteza nguvu za mwili

madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili. Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya mwili uchoke. Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha. Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.

kupata magonjwa

kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi, lakini ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.

Baada ya kungalia madhara hayo machache ni vema kwa wapenzi kupunguza kiwango cha kufanya mapenzi ili kuifanya miili iwe na uvumilivu unaoweza kumsaidia mtu kukaa kwa muda mrefu bila kumsaliti mpenzi wake hata kama atakuwa amesafiri mbali naye kimasomo, kikazi au kibiashara
mpwa namadhara ya kutofanya maana wengine nikinyume chake wanapewa kama dawa za dulucolax 1*1 kwa siku mbili kwa wiki..embusaidia na hawa wanajisaidiaqje namadhara yake
 
madhara hawapati wanawake wanaopendao la ndoa kwa waume zao madhara unapata wwe mwananmue kwa sababu unatumianguvu nyingi ukifanya kila wakati tendo la ndoa mkuu mtoto halali na hela
loh

mpwa umenikumbusha ninawiki shemejio nampandisha juu akimaliza naminamalizia namaliza naehukojuu kuanzakusuguana uwiii tunasaga dona??
 
Ukipiga goli 3 kwa usiku mmoja na ukimuwezesha mwenzi wako kufika kileleni inatosha mkuu Pawaga

Goli3 kwa usiku mmoja week nzima au daily? Nadhani kwa week goli 5-7 za tosha na hizo zitimie kwa mpangilio wa leo keshokutwa yaani kuruka siku! Ila 3 tu kwa week ni chache!
 
Last edited by a moderator:
mpwa namadhara ya kutofanya maana wengine nikinyume chake wanapewa kama dawa za dulucolax 1*1 kwa siku mbili kwa wiki..embusaidia na hawa wanajisaidiaqje namadhara yake
attachment.php

MADHARA YA KUTOFANYA MAPENZI KABISA.

Nijuavyo Mimi binafsi Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa

nguvu. Akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni

pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa

wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa

kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.Mkuu.Pdidy
 
Goli3 kwa usiku mmoja week nzima au daily? Nadhani kwa week goli 5-7 za tosha na hizo zitimie kwa mpangilio wa leo keshokutwa yaani kuruka siku! Ila 3 tu kwa week ni chache!
Ukiweza piga goli 3 kwa usiku mmoja. ufanye hivyo kwa wiki mara 3 tosha. yaani kila baada ya siku 3 kama unaweza.mkuu CHAZA
 
Last edited by a moderator:
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.

Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku' kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari. Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.

Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika. Twende pamoja katika kutazama madhara hayo kwa kina.

KUPOTEZA HAMU YA TENDO

Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara. Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.

Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.

KUUJAZA MWILI TAMAA KUBWA

Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani?

Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake. Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi. Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi.

KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO

Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako. Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!

KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI

Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili. Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya mwili uchoke. Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha. Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.

KUPATA MAGONJWA

Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi, lakini ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.

Baada ya kungalia madhara hayo machache ni vema kwa wapenzi kupunguza kiwango cha kufanya mapenzi ili kuifanya miili iwe na uvumilivu unaoweza kumsaidia mtu kukaa kwa muda mrefu bila kumsaliti mpenzi wake hata kama atakuwa amesafiri mbali naye kimasomo, kikazi au kibiashara

mpwa tuache utani unawatoaga machozi watu kwenye ndoa zao nadhani Mungu akisahau kukubariki akawabariki wanaona wajukuu zako kama na wazazi wapo pia
 
mpwa kuna hii nimeisoma hapa jamvini nisaidie nayo inasemaje

[h=2]Kuwa na Wapenzi wengi kunapunguza uwezekano wa kuugua Tezi Dume[/h]
Wadau,

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu wa Chuo kikuu cha Montreal, Canada, ni kuwa mwanaume ambaye ameshiriki tendo la ndoa na wanawake kuanzia ishirini na kuendelea ni nadra sana kuugua ugonjwa wa Saratani ya Tezi dume.

Lakini kwa upande wa wanaume mashoga, wao wapo kwenye hatari kubwa zaidi ya kuupata ugonjwa huu. Sababu kubwa inayotajwa kusababisha hali hii kwa mashoga ni kuwa wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata maumivu kwenye tezi dume kutokana na msikusuko unaotokea wakati wa tendo pindi wanapokuwa wanafanya mapenzi haya (athari zipo kwa muingizwaji).

Kati ya mwaka 2005 na 2009 wanaume wapatao 3208 walishiriki utafiti uliofanywa na Taasisi inayojishughulisha na maradhi ya Saratani na kati yao wanaume 1590 waligundulika kuwa na Saratani hii ya Tezi dume.

Utafiti huu ulichapishwa kwenye Jarida la "Cancer Epidemiology".

Marie-Elise Parent, aliyeongoza jopo la watafiti alisema kuwa hii isiwe sababu ya wanaume kuhamasika kuwa na wapenzi wengi.

Pia utafiti huu umeweka wazi kuwa wanaume ambao hawashiriki kabisa tendo la ndoa wako kwenye hatari, mara mbili zaidi ya kawaida kuugua gonjwa hili hatari.

Tafiti zilizotangulia pia zilitanabaisha kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara kunapunguza uwezekano wa kuugua Saratani ya Tezi Dume kwa kuwa husaidia kupunguza mrundikano wa wadudu visababishi vya Saratani (carcinogenic crystal-like substances) kwenye tezi dume.

My Take:

Kwa wanaume: Je mwenendo wako unakuweka hatarini au kwenye usalama dhidi ya Tezi dume?
Wamama na wadada, ukiombwa tunda ujue mwenzio anahitaji kinga dhidi ya Saratani. Hivyo msiwe wachoyo.
Na kidume ukiona kila unapoomba tunda unakataliwa basi ujue mwenzio anataka uugue tezi dume.

Kinga ni bora kuliko tiba.

Men who have sex with more than 20 women during the course of their lifetimes are less likely to be diagnosed with prostate cancer, new research shows.

But for homosexuals who have had sex with at least 20 men and virgins, the risk of being diagnosed is doubled, the researchers from the University of Montreal have found.

However, the researchers found that homosexual men who have had at least 20 sexual partners, were twice as likely to to develop prostate cancer compared with those in monogamous relationships.

Compared with men who have had just one sexual partner, men who have slept with 20 or more women have a 28 per cent lower risk of being diagnosed, and are 19 per cent less likely to develop the most aggressive form of prostate cancer.

Homosexual men were also five times more likely to develop a less serious form of the disease than those with only one male partner.

The "highly speculative" hypothesis to explain this increased risk for homosexual men is that there is a heightened risk of picking up a sexually transmitted disease and "physical trauma" to the prostate from anal intercourse.

Between 2005 and 2009, 3208 men participated in the Prostate Cancer & Environment Study and were asked to give information about their lifestyles and sexual experiences.

In this time frame, 1590 men who participated in the study were diagnosed with prostate cancer..

The research, published in the journal Cancer Epidemiology, is the first of its kind to make a link between the number of sexual partners and the risk of developing cancer.

Lead researcher Marie-Elise Parent said that, despite the results, she did not see a need for public health authorities to encourage men to have sex with as many women as possible.

"It is possible that having many female sexual partners results in a higher frequency of ejaculations, whose protective effect against prostate cancer has been previously observed in cohort studies," Dr Parent said The research found that men who had never had sexual intercourse, were twice as likely to be diagnosed with prostate cancer.

Prior studies have indicated sexual intercourse might help reduce the risk of prostate cancer because it lowers the concentration of carcinogenic crystal-like substances in the fluid of the prostate.

"We were fortunate to have participants from Montreal who were comfortable talking about their sexuality, no matter what sexual experiences they have had, and this openness would probably not have been the same 20 or 30 years ago," Dr Parent said. "Indeed, thanks to them, we now know that the number and type of partners must be taken into account to better understand the causes of prostate cancer."

Sex with more than 20 women helps reduce prostate cancer: study

Mapendo,
TANMO.
 
My Take:

Kwa wanaume: Je mwenendo wako unakuweka hatarini au kwenye usalama dhidi ya Tezi dume?
Wamama na wadada, ukiombwa tunda ujue mwenzio anahitaji kinga dhidi ya Saratani. Hivyo msiwe wachoyo.
Na kidume ukiona kila unapoomba tunda unakataliwa basi ujue mwenzio anataka uugue tezi dume.

Kinga ni bora kuliko tiba.

nimeipenda hii hapo juu ....ununue kava ya simu kabla ya kununua simu

shidaaaaa ...nyie mnaotoa 1 MARA 1 KWA SIKU MBILI NDANI YA WIKI MNATENGENEZA CANCER KWA WENZENU KAMA SIO NYIE WENYEWE PIA
 
Asante mkuu kwa elim uliyo itoa mimi mwenyewe napenda sana hako kamchezo nitapunguza

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nakutokufanya mapenzi kuna madhara sasa tusimame upande upi ikiwa hata kufanya mapenzi kuna madhara
 
KUUJAZA MWILI TAMAA KUBWA

Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani?

Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake. Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi. Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi.

KUPATA MAGONJWA

Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi, lakini ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.

Hizi mbili naona zinanohusu, ingawa hiyo ya magonjwa bado. Itabidi nizibe UFA.
 
Back
Top Bottom