habar wakuu, nimeleta mada watalam watujuze
hakuna madhara yoyote kama huamini je umeshawahi yapata wewe mwenyewe? uliyeileta hii mada..
mojawapo ya madhara ni kuwa 'boflo'
Umemsikia mwenzako amekufa?alipiga goli 42 kwa usiku mmoja.
Once you become addicted to pornographic material of any kind you totally loose your confidence, it is a sin.
Jamani ndiyo maana jamvi hili linaitwa la THE GREAT THINKERS! Sasa kwa thread hii kinachojadiliwa ni nini? Kwa sababu mtu mwenyewe ameandika head line tu. Tunaomba atueleze anachotaka kujadili humu, acheni kukurupuka. Ndiyo maana mwanajamii mmoja jana alisema inabidi tuanze kwa makini na waleta threads kwani si ajabu huyu aliyeileta hii hata kubarehe bado anaishia kuangalia mikanda ya NGONO tu. Think like as a great thinker.

Nimeskia kwamba wanandoa weng huwa wanaangalia, vp wao kuhusu na maneno hapo juu (kuwa boflo)?
Hapo kwenye red Mkuu, unaleta hapa jukwaani habari za kuskia? N hata kama ingekuwa kweli, ni ajabu gani kwa mwanandoa kuwa 'boflo'? Mbona wewe hata kuoa bado lakini tayari ushakuwa 'boflo'?
Niombe radhi mkuu