Madhara ya kuangalia picha za ngono

MusuKuma

Member
Jan 30, 2021
33
87
Habari watu wa nguvu, nna kisa kidogo nataka tujifunze pamoja.

Mwanzo kabisa nilipokuwa mdogo miaka 12 sikua najua chochote kuhusu mapenzi, ila katika umri huo nilikuwa darasa la 6 na wenzangu wengi walikuwa katika hatua ya ukuaji yaani kuvunja ungo.

Ikafika kipindi shule watu wakawa wanajitenga wale waliopevuka wana kundi, na sio ambao bado tupotupo tu.

Sasa ikifika muda wa mapumziko wale waliobalehe, wakawa wanakaa vikundi wanapiga story tamu, mi nikisogea wananitumua. Ile hali ikawa inanikera basi tu nikawaa navunga. Sasa kuna siku nyumbani kwetu wakawa wamekuja wageni likizo ile ya mwezi wa 12 kula sikukuu, ikifika usiku nikilala wanapiga story za kikubwa kuhusu picha za X. Nikawa nawasikiliza na ninatamani kweli kuziona.

Ikaendelea hiyo hali ya kusimuliana basi kuna siku wakaa kabisaa wakawa wanaangalia enzi hizo smart phone bado hazijaingia sana wakawa na simu za batani na memory card kwahiyo wanarusha kwenye vibanda wanaangalia usiku wakichoka wanalala, siku hiyo nikasema hapana leo wakilala zamu yangu naiba simu naangalia, kweli wakalala nikaiba simu kwa bahati haikuwa na pin/ password nikatoka nayo nje hadi chooni nikaanza kuangalia.

Kiukweli sikuhisi chochote mwilini ila nilivutiwa tu kuzitazama, vile mwanamke analia nikawa najiuliza kwani anaumia au? Na ile kupigwa vibao vya matako kugeuzwa kubanwa mikao mbalimbali nikajua wengine wanalazimishwa labda au kubakwa ndo maana wanapigwa.

Hee si mchezo ukanikolea ikawa kila siku ikifika saa 11 alfajiri naiba simu ya mamdogo naenda nayo chooni naangalia hadi kunakucha naenda shule. Nikaanza kuunda urafiki na wale waliobalehe huku nikiwa na kiingilio changu cha hadithi ya video za ngono, basi wakawa wananipenda hatari.

Ikaenda wale wageni sikuu ikapita wakarudi makwao nikawa sina pakuangalia, zaidi tu naenda kwa wale madada wa shule tunasimuliana vitu vya ajabu naridhika. Nikamaliza darasa la 7 nikafaulu kuingia kidato cha kwanza, basi kufika kule nikawa mtulivu tu.

Itaendelea
 
Habari watu wa nguvu, nna kisa kidogo nataka tujifunze pamoja.
Mwanzo kabisa nilipokuwa mdogo miaka 12 sikua najua chochote kuhusu mapenzi, ila katika umri huo nilikuwa darasa la 6 na wenzangu wengi walikuwa katika hatua ya ukuaji yaani kuvunja ungo.
Ikafika kipindi shule watu wakawa wanajitenga wale waliopevuka wana kundi, na sio ambao bado tupotupo tu.

Sasa ikifika muda wa mapumziko wale waliobalehe, wakawa wanakaa vikundi wanapiga story tamu, mi nikisogea wananitumua. Ile hali ikawa inanikera basi tu nikawaa navunga. Sasa kuna siku nyumbani kwetu wakawa wamekuja wageni likizo ile ya mwezi wa 12 kula sikukuu, ikifika usiku nikilala wanapiga story za kikubwa kuhusu picha za X. Nikawa nawasikiliza na ninatamani kweli kuziona.

Ikaendelea hiyo hali ya kusimuliana basi kuna siku wakaa kabisaa wakawa wanaangalia enzi hizo smart phone bado hazijaingia sana wakawa na simu za batani na memory card kwahiyo wanarusha kwenye vibanda wanaangalia usiku wakichoka wanalala, siku hiyo nikasema hapana leo wakilala zamu yangu naiba simu naangalia, kweli wakalala nikaiba simu kwa bahati haikuwa na pin/ password nikatoka nayo nje hadi chooni nikaanza kuangalia.

Kiukweli sikuhisi chochote mwilini ila nilivutiwa tu kuzitazama, vile mwanamke analia nikawa najiuliza kwani anaumia au? Na ile kupigwa vibao vya matako kugeuzwa kubanwa mikao mbalimbali nikajua wengine wanalazimishwa labda au kubakwa ndo maana wanapigwa. Hee si mchezo ukanikolea ikawa kila siku ikifika saa 11 alfajiri naiba simu ya mamdogo naenda nayo chooni naangalia hadi kunakucha naenda shule. Nikaanza kuunda urafiki na wale waliobalehe huku nikiwa na kiingilio changu cha hadithi ya video za ngono, basi wakawa wananipenda hatari.

Ikaenda wale wageni sikuu ikapita wakarudi makwao nikawa sina pakuangalia, zaidi tu naenda kwa wale madada wa shule tunasimuliana vitu vya ajabu naridhika. Nikamaliza darasa la 7 nikafaulu kuingia kidato cha kwanza, basi kufika kule nikawa mtulivu tu.

Itaendelea
Wiki ya shetani..😅
 
MKUU VIPI KUHUSU MADHARA YA KUUSOMA UZI WA ......RICKY BOY......KULA TUNDA KIMASIHARA
 
Back
Top Bottom