Madhara ya ESCROW hatari sana

Madhara ya ESCROW hatari sana

Watu wanafanya kazi, wanakatwa PAYE

PAYE ya Tanzania ni kubwa kuliko nchi zote Africa Mashariki.

Yule Mwenyekiti wa CHama cha Waajiri ATE alisema mafisadi wa ESCROW wachukuliwe Hatua.

Kodi za Watanzania million 45 ziende kwa Familia 10 tu (Mafisadi wa ESCROW)!!!!

Kumbuka kila utakacho nunua umekatwa VAT ya 18% (tia akili) ewe Mtanzania

Watanzania wengi sana wanakufa kwa kukosa dawa na huduma bora Hospitali.... Akina mama wanalala chini wakati wa kujifungua. Kuna amani gani wakati watu wanakufa kuliko nchi za Vita kama DRC na Somalia!!!

Wananchi wakidai haki wanaitwa majina ya uchochezi, magaidi n.k

Elimu imedorora kwa DIV 00 aka Div 5, ajira kwa vijana hakuna...

Wanaingiza sukari nchini kuua viwanda vya ndani kwa minajili ya 10% kujaza tumbo zao--- WAPIGWE tuuuu


Kisa tu kutafuta pesa za kununua kanga na Tshirt za Kijana zilizo (nenewa) maneno ya kuiabudu Csiem.... Ili watanzania masikini wadanganywe nazo
 
Back
Top Bottom