Madhara ya ESCROW hatari sana

Madhara ya ESCROW hatari sana

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Angalia hospitali hazina daw, watu wengi sana wanakufa kuliko nchi yenye vita.

Akina mama wanalala chini katika hospitali nyingi za Serikali, hasa hospitali za wilaya.

Checki picha ya Mwananyamala --- Ipp Mwananyamala

- Wanafunzi wengi wameshindwa kujiunga na Vyuo kwa kukosa mikopo.
 
Kama Tanzania ni mbaya hameni, hakuna mtu amewazuia, hamieni hata Somalia
 
hata ofisini watu wamekata tamaa ya kufanya kazi

Watu wanafanya kazi, wanakatwa PAYE

PAYE ya Tanzania ni kubwa kuliko nchi zote Africa Mashariki.

Yule Mwenyekiti wa CHama cha Waajiri ATE alisema mafisadi wa ESCROW wachukuliwe Hatua.

Kodi za Watanzania million 45 ziende kwa Familia 10 tu (Mafisadi wa ESCROW)!!!!

Kumbuka kila utakacho nunua umekatwa VAT ya 18% (tia akili) ewe Mtanzania

Watanzania wengi sana wanakufa kwa kukosa dawa na huduma bora Hospitali.... Akina mama wanalala chini wakati wa kujifungua. Kuna amani gani wakati watu wanakufa kuliko nchi za Vita kama DRC na Somalia!!!

Wananchi wakidai haki wanaitwa majina ya uchochezi, magaidi n.k

Elimu imedorora kwa DIV 00 aka Div 5, ajira kwa vijana hakuna...

Wanaingiza sukari nchini kuua viwanda vya ndani kwa minajili ya 10% kujaza tumbo zao--- WAPIGWE tuuuu

Kisa tu kutafuta pesa za kununua kanga na Tshirt za Kijana zilizo (nenewa) maneno ya kuiabudu Csiem.... Ili watanzania masikini wadanganywe nazo
 
angalia hospitali hazina dawa..... Watu wengi sana wanakufa kuliko nchi yenye vita

Akina mama wanalala chini katika hospitali nyingi za Serikali, hasa hospitali za wilaya... Checki picha ya Mwananyamala --- Ipp Mwananyamala

- Wanafunzi wengi wameshindwa kujiunga na Vyuo kwa kukosa mikopo

Fungeni mitambo ya umeme ya IPTL, mnangoja nini kama ina madhara?
 
Kama Tanzania ni mbaya hameni, hakuna mtu amewazuia, hamieni hata Somalia
Kama matarajio yako ni kuwa wstanzania waikimbie nchi yao kwa ajili ya kuyakimbia matatizo ya nchi hii.

Hapo matarajio yako, yamegonga mwamba, watanzania tutaendelea 'kukomaa' na kubaki hapa hapa nchini.

Badala yake watawala ndiyo wataikimbia nchi mwakani, kutokana na hofu ya kuburuzwa mahakamani kutokana na ufisadi wa kutisha, waliowafanyia wananchi wa nchi hii.
 
Hayo ndiyo tunayoyakataa. Ni matusi mabaya sana. Ninakuomba ufute usemi wako wa kifashisti. Kwani Mungu kawapeni nchi hii mafisadi tu mpaka mtutake wengine tutoke? Mali ni ya wananchi wote. Mnapojizolea bila kujali wengine, tukae kimya tu! I don't get it. Fascism ya namna hii ndiyo itapelekea nchi kuchafuka. Kwa sababu, badala ya watu tuliowapa dhamana kuwajibika na kututendea haki wananchi, wanaponda mali na vikaragosi vyao vinatutukana vinasema kama haturidhiki basi tuhame nchi. Unf*****gbelievable! Yaani tuwaachie tu muibe, maana tu mabozo sana, eti?
Please read a history book.
Kama Tanzania ni mbaya hameni, hakuna mtu amewazuia, hamieni hata Somalia
 
Angalia hospitali hazina daw, watu wengi sana wanakufa kuliko nchi yenye vita.

Akina mama wanalala chini katika hospitali nyingi za Serikali, hasa hospitali za wilaya.

Checki picha ya Mwananyamala --- Ipp Mwananyamala

- Wanafunzi wengi wameshindwa kujiunga na Vyuo kwa kukosa mikopo.
Unatakiwa kuombewa unaonekana hujitambui kabisa kwenye hii dunia.
 
I hope this is a joke. Otherwise this is beneath you.

Nope, its not a joke at all.

Kama mitambo ya umeme ya IPTL ina madhara izimeni, mnangoja nini? na kila siku zinavyoenda inazidi kulipiwa?
 
Unatakiwa kuombewa unaonekana hujitambui kabisa kwenye hii dunia.
We utakuwa yule mfanya kazi wa ndani w uganda aliye mpiga mtoto akili zako zaidi ya matope
 
Natamani hili suala la ESCROW liishe haraka turudi kwenye mjadala wa katiba mpya, Wanaoipigia kampeni ya "ndiyo" tuwasikie hoja zao, wanaoipigia kampeni ya "hapana" na wenyewe tuwasikie hoja zao kisha tufanye maamuzi bila kushinikizwa, kutishwa wala kupokea rushwa. Labda Tutapata katiba ambayo itakuwa na suluhisho la kudumu (sina hakika) kwenye matatizo kama haya ya ESCROW, EPA, Richmond n.k.
 
Angalia hospitali hazina daw, watu wengi sana wanakufa kuliko nchi yenye vita.

Akina mama wanalala chini katika hospitali nyingi za Serikali, hasa hospitali za wilaya.

Checki picha ya Mwananyamala --- Ipp Mwananyamala

- Wanafunzi wengi wameshindwa kujiunga na Vyuo kwa kukosa mikopo.

Lack of education!
 
Hili shamba la bibi...bora iwe hivihivi ukipata chance we butua tu wabongo wavivu sana wakiishi kama libya ile ya gadafi watataka hata wakienda chooni wachambishwe....wacheni wenye akili wapige hela...imeandikwa kila mtu na fungu lake na "Kila mtu atakula kwa jasho lake.."
 
Back
Top Bottom