Duh!... Hii ni tafsiri mpya ya Uzinzi....Dhambi ya uzinzi inahesabika pale mtu alipolala na mke wa mtu na sio vinginevyo. Ikimaanisha kuwa adhabu ilitolewa kwa mke aliyechepuka na kama angekamatwa na mwanamume huyo wangeuwawa wote wawili. Ila kwa mwanamume kutembea na binti hata kama ameoa sheria haiwi uzinzi hivyo ni kusema aliyefungwa ni mke aliyeolewa huyu hapaswi kuingiliwa kamwe na ukimwingilia ndipo Methali inakuita wewe ( mwanamume) mjinga usiye na akili kwa ni ni? Maana umekosa wanawake mpaka ukaenda kujitia unajisi kwenye shahawa za mwanamume mwenzako?. Inaendelea kusema.....
Mithali 6
33. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; <br>Wala fedheha yake haitafutika.
34. Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; <br>Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi.
35. Hatakubali ukombozi uwao wote; <br>Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.
Yaani hata kufirwa inakuwa haki yako ukiingilia mke wa mtu.
Ila kuhusiana na mwanamwali ukimuingilia ukadakwa waweza toa mahari akawa mkeo au ikiwa baba mzazi haridhii umuoe itatoa mahari kisha ataenda zake. Hii ni kibiblia kabisa
Sijakuuliza kinachoongelewa ni kitu gani.Kinachoongelewa ni uzinzi
umeongea vyema sana mkuu,
uzinzi na uasherati unaweza ushinda kwa namna nyingi
kwanza kubali kuwa ni kosa,
jiepushe na pombe, jiepushe na miziki ya kidunia, movies na tamthiliya , mitandao isiyo ya kimaadili kama tik tok na instgram, fanya mazoezi, jaribu kuchuja aina ya taarifa ambazo unazipokea,epuka vyakula vya wanga, fanya mazoezi na zaidi concentrate katika kujifunza stadi mpya ambazo zitakuingizia kipato yote kwa yote zingatia ibada
Hapa umedqnganyasadaka haimunufaishi Mchungaji inakunufaisha ww mtoaji, ndo maana hta mchungaji haitumiii bali inatumika kwa ajili ya kueneza injili ili iwafikie watu wengi zaidi, hata ww ukienda kwa mganga ukatoa kuku unadhan hyo kuku ni kwa ajili ya mganga, ni kwa ajili yako
asante kwa swali zuri nitakuelezea kwa msaada wa MUNGUYesu Kristo alikufa kwa ajili gani?
Sadaka za mtu alie patikana kwa matokeo ya uzinzi zinaliwa hizo sio haramu bwasheeDah 😂😂😂
Nimemaliza mwaka jana wote now natafuta mwaka wa pili mbona nipo kawaida tu ? Ni kujiendekeza tu .Nimekaa muda mrefu bila kufanya mapenzi
Nilichokuja kugundua ukisipo fanya mapenzi muda mrefu akili yako kuna time kama ina sizi hivi ata huwe mtu wa mazoezi kiasi gaji hili swala halikwepeki mkuu
Ukimwamini Yesu unakuwa mtakatifu, huna dhambi kabisa.ili kila binadamu amwamini YEYE ili kurejesha nguvu ya asili ambayo tuliporwa na shetani, hivyo ukimwamini Yesu umeyapata yote
sio kweli, wacha nikuelezee kidogo hapa, kwa mifanoLini Mungu aliteua kanisa ? Kila mtu anajua kanisa Africa ulikua mpango kabambe wakuja kama kitangulizi cha wakoloni kwa ajili ya kutunyonya yaani wamisionari wa kikoloni . Wewe unavyosema mpango wa Mungu kivip na Mungu yupi na lini na ulijuaje?
umeongea vyema na mm naamini umeona mabadiliko makubwa sana kwny maisha yakoNimemaliza mwaka jana wote now natafuta mwaka wa pili mbona nipo kawaida tu ? Ni kujiendekeza tu .
hakuna namna ya kuuondoa utakafifu kama uko ndani ya YesuUkimwamini Yesu unakuwa mtakatifu, huna dhambi kabisa.
Au kuna namna naweza poteza huo utakatifu?
Hongera, mimi nimeshindwaNimemaliza mwaka jana wote now natafuta mwaka wa pili mbona nipo kawaida tu ? Ni kujiendekeza tu .
pesa na dhahabu ni mali za Bwana,..ila dhambi ni zako mwenyewe,....karibu ibadani ukiwa na sadaka yako mkononi..Vipi sadaka za mtu alie zaliwa kwa hicho mnachokiita uzinzi mnachukua?
unaweza mkuu, kama unataka kufanikiwa kiuchumi na kijamii anza kushughulikia na hili jambo,hujawahi kuwaza kwann dunia inapambana sana kuhamasisha uzinzi kuliko ndoa? unapigwa bila ww kujua , simama imaraHongera, mimi nimeshindwa
Nitaoa mkuu,mambo yanakaa poa soon tuunaweza mkuu, kama unataka kufanikiwa kiuchumi na kijamii anza kushughulikia na hili jambo,hujawahi kuwaza kwann dunia inapambana sana kuhamasisha uzinzi kuliko ndoa? unapigwa bila ww kujua , simama imara