Ulimi na mdomo sawa kabisa Dr Lkn mkono pia?kila kiungo kina kazi yake, sio mkono au ulimi kupelekwa sehemu za siri.tafadhali
Dr. Ulijuaje kuwa hao wadudu amepapata kutokana na kufanya mapenzi kwa kutumia mdomo? Case moja inaweza kuwa udhibitisho wa hiyo conclusion yako? naomba kuwasilisha
Mi si mtumizi wa viungo na maeneo hayo uliyotanabaisha, lakini nashauri labda ufanyike uchunguzi zaidi juu ya huu ugunduzi wako. Hii inatokana na idadi kubwa sana ya watu kufanya mapenzi kwa kuhusisha maeneo hayo...Lakini uchafu/usafi wa mwanamke ni factor kubwa sana katika kudhibiti hili...
Mhhh haya sasa mambo hayo wale wanaopenda kuingia chumvini mtakoma mtiiniu Mungu.
Dr. naomba ufafanuzi wa cunninglus ni bacteria au fungus au nini nini hasa, nieleweshe wanakaa wapi wana kazi gani mwilini na kwanini wanamadhara wanapokuwa mdomoni. Nikielewa nitaandikia makala au stori tuelimishe watu.
Regards
Journalist of JF
Doctor Tonge nadhani unataka kupotosha watu tu cunninglus haina madhara kwani bakteria wa E.coli wanapatikana kwenye mazingila mengi tu sio kwenye K** peke yake.E.coli are commonly found in lower intestine and majority are harmless.
Ukitaka kwenda chumvini " cunninglus " lazima upitishe mrembo asafishe kwa maji yenye vinegar halafu mambo yanaaanza
Oral Sex
Many people are unclear on the risks associated with oral sex. Questions about oral sex and the risk of contracting an STD are very common in outreaches and at the SHPRC. Many people engage in unprotected oral sex, and are particularly concerned with the risks associated with not using protection.
What are the risks:
Herpes is probably the biggest STD risk during oral sex. Both strains of herpes can live in the mouth or the genitals, and particularly during outbreaks (cold sores, herpes lesions) can be passed from one place to the other. Many people have oral herpes, more than 50% of a random group of people will have antibodies to the virus (indicating some level of infection). Having oral herpes for most people is no big deal, a cold sore during times of stress or illness is usually little more than an annoyance. Genital herpes can be more complicated and uncomfortable, but there are treatments (see Herpes Fact Sheet for more info). Care should be taken so that oral herpes are not passed to anyones genitals. In general it is not a good idea to have unprotected oral sex while any lesions are present.
Chlamydia and gonorrhea can infect your throat, strep like symptoms, and are curable with antibiotics. These can also infect the eye, and though rare, eye infections can have serious consequences, so be careful with fluids.
HIV can be passed through unprotected oral sex, but it is more likely to be passed during unprotected penetrative sex. The infected semen/precum or vaginal fluid must enter the body through a cut or sore in the mouth or esophagus. The virus is unlikely to be passed from a persons mouth to another persons genitals.
HPV can be passed during oral sex, but it is rare. HPV has been found on vocal chords.
Syphilis can be passed similar to HIV. Syphilis is curable.
Hepatitis A is a risk particularly in oral-anal sex, and people engaging in this unprotected might want to look into getting a Hep A vaccine. Hep A is not a chronic condition like Hep B and C, but can make a person quite sick several weeks.
Huyo mgonjwa wako labda alikuwa anakula sio kulamaba!!!
Mpaka ameze e.coli wakutosha kumletea madhara?? kwanza atakuwa amekula mavi kilo ngapi? E.coli wanapatikana in human gut na uwepo wake nje ya human gut indication yake ipo kwenye fical test.
Mi naona unataka tu-discuss issue ambaya ni 1 in 10,000,000,000 cases hapa, japo siamini kabisa kwenye kitu ulichosema!
sourceOral sex can get most men's attention. The topic becomes considerably more relevant, however, when coupled with a new study linking the human papillomavirus (HPV) to an increased risk of a kind of oral cancer more often seen in men.
The study, which appears in this week's New England Journal of Medicine (NEJM), shows that men and women who reported having six or more oral-sex partners during their lifetime had a nearly ninefold increased risk of developing cancer of the tonsils or at the base of the tongue. Of the 300 study participants, those infected with HPV were also 32 times more likely to develop this type of oral cancer than those who did not have the virus. These findings dwarf the increased risk of developing this so-called oropharyngeal cancer associated with the two major risk factors: smoking (3 times greater) or drinking (2.5 times greater). HPV infection drives cancerous growth, as it is widely understood to do in the cervix. But unlike cervical cancer, this type of oral cancer is more prevalent in men.
Read more: Oral Sex Can Add to HPV Cancer Risk - TIME
Huyo mgonjwa wako labda alikuwa anakula sio kulamaba!!!
Mpaka ameze e.coli wakutosha kumletea madhara?? kwanza atakuwa amekula mavi kilo ngapi? E.coli wanapatikana in human gut na uwepo wake nje ya human gut indication yake ipo kwenye fical test.
Mi naona unataka tu-discuss issue ambaya ni 1 in 10,000,000,000 cases hapa, japo siamini kabisa kwenye kitu ulichosema!
Dr.Tonge,shukran kwa taarifa.Hata hivyo umeacha loop holes nyingi za kitaalam kwenye hii info yako.
Ili kutoa tahadhari au kukataza watu for a medical benefit inatakiwa info ikae vema katika
epidemiology,statistics na EBM(evidence based medicine)
Wakuu,hii habari ipo na imefanyiwa study,ni vema kujipa tahadhari.
source