Madhara ya condom

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Habari zenu wadau!
Kiribia kila kitu hapa duniani kina faida na hasara!
Faida kubwa ya condom ni kuzuia maambukizi ya ukimwi kunako tendo la 6x6, pia huzuia mambukizi ya magonjwa mengine yanayoambukizwa kwa njia ya ngono na kuzuia mimba zisizotarajiwa (family planning), mbali na faida hizo jamani mimi nimebaini madhara kama ifuatavyo:-
Kama utakuwa muumini wa condom kama mimi kwa muda mrefu siku ukivua hutomfikisha mwenzio kileleni kama ilivyokuwa kawaida ukiwa na mpira huo, mwenzenu nimeaibika juzi kila nikijaribu namaliza kama nimefungiwa motor!
Hapa sijui nafanyaje kunusuru hali hii mpira ndio tumevua, baada ya taratibu kufuatwa uwanjani mimi ni kero! nimekumbwa na kadhia hii kila nikimuona mchumba najidai naumwa! Sikatai faida zake lakini hili tatizo nalitatuaje sasa? weekend ndio kaamua anakuja kulala kwngu, hapa siku naona zinakimbia, natamaani kusafiri lakini ndio haiwezekani sasa! ehm nipeni ushauri nifanye nini sasa kutibu hii kero?
 
Sasa si uvae tu? Matendo ya mwanzo vaa, then jifunze kuacha taratibu kule mwishoni wakati mshachoka naye kashaambulia hata mara mbili. Tatizo hapo ni mind tu, na si kuacha con.dom. Baadae utazoea peku peku na con. dom utaziona kero tu. Ila anza kumwambia ukweli huyo shemeji yetu ili awe tayari kwa lolote
 
naogopa kukufundisha ukatende dhambi
 
kama ndo hivyo si umweleze tu ukweli sio kumkimbia then mshughulikie tatizo kwa pamoja.
 

Stop fornication
 
Yaan hapa ...round moja unavaaa round ya pil kavuu ivo ivo hadi uzoeeee ...sasa arifu miaka yote unapiga na cover afu unachange uncover ghafla then unatarajia matunda yaleyale ..ni shidah
 
Kweli kila kitu kina faida na hasara. Uaraza una faida kwenye kuchana nywele ila hasara kwenye kunawa uso sababu utaanzia kunawa kwenye chogo
 
sasa ulitegemea radha zitakuwa sawa.??yaani ule pipi na maganda yake alafu umenye maganda unataka usikie utamu sawa hahaah.!
 
Punguza spidi wakati wa kugegedana, unatakiwa uende taratibu huku ukimsikia mwenzio utamu unavyomwingia, sasa wewe unaenda utadhani shorttime

 
...jaman mbona mi nikishatumia hzo ndom nawashwa then natoka vipele, nilidhan ndom za bei ndogo ndo tatzo nikabadili na kuanza kutumia akina durex, rough rider n.k mh mambo yale yale kutokwa vipele...wats wrong here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…