commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
nashukuru so ukipewa kazi barrik gold mine utakataa? Nawakilisha
nashukuru so ukipewa kazi barrik gold mine utakataa? Nawakilisha
ndugu zangu kiswahili ni lugha yetu,NAOMBANAWASILISHA SI KUWAKILISHA,AMESIBITISHA KUPOKEA TAARIFA HIZO NA SI KUDHIBITISHA.nawasilisha
ndugu zangu kiswahili ni lugha yetu,NAOMBANAWASILISHA SI KUWAKILISHA,AMESIBITISHA KUPOKEA TAARIFA HIZO NA SI KUDHIBITISHA.nawasilisha
nashukuru so ukipewa kazi barrik gold mine utakataa? Nawakilisha
ameuliza swali sasa utoto uko wapifikiria kabla ya kujibu usilete utoto wako hapa majbu yako peleka fesibuku.
Join Date : 31st May 2011fikiria kabla ya kujibu usilete utoto wako hapa majbu yako peleka fesibuku.
Zikitangazwa kazi watu wanataka kuuana leo hii mnafikiria mambo ambayo sauzi waliyafanikisha kitambo kwa anglo americans, kuna madhara kama mineral exaustion zilitokea sana sauzi na hapa kwa buhemba imetokea na huko kwingine itatokea tu so acha watu wapige mzigo matokeo baadae. Hakuna uvunaji wa pesa usio na disadvantage. Mfano MV SPICEHata wale wanaofanya kazi barrick wanafanya huku wamenuna.ila hawana option na kila inaopatkana huwa wanaachia ngazi mapema wakikimbia mapunjo na unyanyasaji.
fikiria kabla ya kujibu usilete utoto wako hapa majbu yako peleka fesibuku.[/QU mijitu mingine inajibu km imelogwa.bora umemkomesha apeleke masaburi yake huko barick kama anataka kazi ni yeye