Hewa safi haitengenezwi jamani eeee
Tuache utani,AC ni Sumu
Sijutii kununua Kiwanja Kikubwa na kupanda miti yenye kivuli ili kupata upepo safu.
AC inapunguza nguvu za kiume,halafu ina ufanya mwili kuathirika kwa hali ya ubaridi.Kuna Rafiki yangu aliwazoesha wanawe AC basi walienda kwa Bibi yao tena wakati wa Masika basi walishindwa Kukaa eti wanasema joto,wakatokwa na vipele teleee,ndio nikasema hii balaa