Mimi mwenyewe nilikuwa natumia petrol kwa kujipaka mikononi ili kuua vijidudu pale niliposhika vitu ambavyo nilihisi kama vyawezakuwa hatarishi kiafya toka mwaka juzi ila juzijuzi nikajiuliza kwamba je hii kitu ni salama kweli. Ikabidi niingie mtandaoni ili kujua hatima, duh hatari aisee nilichoka.