Bosco massawe
Member
- Jan 23, 2012
- 18
- 3
Jmn najua humu kuna madokta naomben msaada wa kufahamishwa madhara yanayoweza kumpata mwanaume endapo atakaa mda mrefu bila ku do
kama hayapo je kuna faida?
Ni zip?
NAWASILISHA
Mimi nilipozaliwa nilikaa kwa muda wa miaka 17 bila ya ku-do na bado sikupata madhara.

kwahiyo ulianza uzinzi long kumbe?
Kaa, kuanza ngono ukiwa na 17 ndo umekaa muda mrefu! Mbona ulianza ngono ukiwa minor? Duniani kuna mambo!
Huyo uliyefanya naye ukiwa na umri huo kama alikuwa mkumbwa basi alistahili jela miaka 30!
unamiaka miangapi wewe?
Jmn najua humu kuna madokta naomben msaada wa kufahamishwa madhara yanayoweza kumpata mwanaume endapo atakaa mda mrefu bila ku do
kama hayapo je kuna faida?
Ni zip?
NAWASILISHA
Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa nguvu,akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.
Hata kama usipo do kwa muda mrefu, mbegu zozote zitakazo undwa zitakuwa recycled. Labda kwa muda mfupi utahisi discomfort kuwa gololi zimejaa lakini zinarudi na kuwa OK. Na mwili utakuwa una uwezo kutumia raw materials hizo kwenye activities za kuujenga hasa kwenye misuli.
Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa nguvu,akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.
-Ma single ndo wanaoongoza ku -du kila siku na watu tofautitofauti,bora hata hao waliooa!Ungemalizia na angalizo kuwa ni Kwa waliooa tu ndo wa du mara 2 had 3 kwa wiki.
mimi sio dr. but as far as akili yangu ndogo inavyonituma ,hakuna madhara zaidi ya faida tupu! one, utakuwa safe zaidi na magonjwa kama H.I.V, gono,kaswende,fungus na mengineyo mengi yakiwemo mapangusa n.k,
...LOL! ADVANTAGES OVERWHEELS RISKS FACTORS.