Madhala ya kutofanya mapenzi kwa mda mrefu.?

mkuu hii si kweli labda tupe source ila alichosema Doctorz ni sawa kuna watu wana zaidi ya miaka 20 bila kumega mkate hawana complications kama hizo.

namuunga mkono aliyotoa hayo madhara hata masomo ya kisaikologia hueleza hivyo japo si lazima yawe hivyo hivyo kwa kila mtu, ila husababisho hayo kwa kiasi kikubwa.na ukichunguza vizuri kwa watu uishio nao au uliyokwisha ishi nao, ila pia swala hili la kutofanya na kuathirika pia ni mind set . waathirika wengi ni wale waliokwisha onja na kuhitaji ila wanakosa kufanya hivyo kwa sababu moja au nyingine, huweza kuathirika kwa haraka zaidi. na wengine huamua kutoathirika kwa kufanya mbinu mbadala
 
Back
Top Bottom