assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
mfanao huwezi kuvunja taasisi yote ya polisi au jeshi kisha ukatawala kwa amani ila unaweza kuwabadilisha maispecta na baadhi ya wakuu wa polisi lakini si kulivunja
acha ujinga watakupindua wakishindwa wanaanzisha uasi then amani haitapotea unatumia makalio kufkr au kichwakwanini usitawale woga wako tu.
MADHAIFU 180 YA KIMKAKATI CHADEMA:Attack a Person, Not an Institution 1.
29DECWADAU WENZANGU NA WAPENDA MABADILIKO WA TANZANIA,KUTOKANA NA MAWZO NA UFATILIAJI WA SIASA YA HAPA TANZANIA NA MICHANGO YA WADAU WA JF,NAOMBA NITUMIE UTAALAMU WANGU KAMAPOLITICAL STRATEGIST KUTOA MADHAIFU 180 YA KITAALAMU AMBAYO CHADEMA WANAYOYAFANYA NA LAZIMA WAYAFANYIE KAZI ILI KUFIKIA LENGO LA KUCHUKUA DOLA.
NITATOA DHAIFU 1 KWA KILA MAKALA NITAKAYOTOA.
(1) MKOSOE/SHAMBULIA MTU NA SIO TAASISI (Attack a Person, Not an Institution) NI KOSA KUBWA SANA KWA CHAMA TARAJIWA KINACHOJIANDAA KUCHUKUA DOLA VIONGOZI WAKE AU SERA ZAKE KUSHAMBULIA TAASISI MOJA KWA MOJA NA KWA UJUMLA WAKE .
KWANI TUKUMBUKE KATIKA TAASISI NYINGI WATU WENGI NI WANYONGE NA WANAKANDAMIZWA NA WANAVUMILIA UONEVU MWINGI WA KIMASIRAHI,SASA WEWE UKITUMIA MUDA MWINGI KUONESHA TAASISI YOTE NI MABAYA BILA KUJALI AU KUONGELEA TABAKA KADAMIZWA NDANI YA TAASISI HIYO,HILI HALITAKUAIDI CHOCHOTE KATIKA MAENDELEAO YA CHAMA KWA UJUMLA WAKE.
KAMA TASISI INAMAPUNGUFU,SEMA NANI/KINANANI ANAMAPUNGUFU NDANI YA TASISIS ILE,WEWE UTAFANYA NINI KUIBORESHA.TUNAKUMBUKA WOTE WAKATI WA KAMPENI NA KATIKA YANDA MBALIMABLI VIONGOZI WETU WAMEKUA WAKISHAMBURIA TASISI MBALIMBALI KWA UJUMLA WAKE MFANO KIONGOZI WETU MMOJA ALIWAHI KUSEMA NITAIVUNJA TAASISI HII NIKIINGIA TU
mfanao huwezi kuvunja taasisi yote ya polisi au jeshi kisha ukatawala kwa amani ila unaweza kuwabadilisha maispecta na baadhi ya wakuu wa polisi lakini si kulivunja
kweli cdm ni km ulevi watu wameshalewaNimepoteza Muda wangu bure kuja kusoma Madudu ! Hivi kwanini ' TAASISI ' Kama CCM isivunjwe ?
cjui km unajua kusomaHata kuandika hoja yako imeshindwa!!!
Kuna taasisi hapa Tanzania ni mbovu kabisa kimfumo, kiutendaji na kimaadili, hivyo suruhisho ni kuzivunja na kuunda taasisi mpya kimuundo, kimfumo na kiutendaji.
Kwa mfano Jeshi la polisi, TISS, PCCB, Tume ya Uchaguzi, Uhamiaji nk.
CHADEMA ni chama makini, hakiumiumi maneno, taasisi zote mbovu ni lazima zivunjwe.
hivi wewe ni kamusiau wikipediaMkuu nafikiri hapa kuna tatizo la tafsiri, kiongozi anaposema atavunja taasisi sidhani kama maana yake ni kuwafukuza/ kuwaachisha/kuwahamisha wafanyakazi wote. Anakuwa na maana hiyo hiyo uliyoitaja wewe kwamba unabadilisha uongozi wa taasisi hiyo. Ukumbuke uongozi katika taasisi za serikali mara nyingi siyo kazi aliyoajiriwa mtu kuifanya bali ni uteuzi tu ambao unaweza kubatilishwa wakati wowote bila mgongano wa kisheria. Wanaposema rais kavunja baraza la mawaziri nafikiri maana yake unaijua. Kwa mwanzo huu naona umeanza in a wrong premise tafadhali jitahidi kuboresha uchambuzi wako hapo mbeleni
mbn povu linakutokaUngekuwa unajua maana ya Taasisi ni nini, usinge andika huu utumbo wako hapa!!! Tunakushauri kwamba, takataka kama hizi peleka kwenye Face Book ya Mwigulu wenu kule!