Madhaifu 180 ya kimkakati chadema:

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
[h=2]MADHAIFU 180 YA KIMKAKATI CHADEMA:Attack a Person, Not an Institution 1.[/h]
29DEC
WADAU WENZANGU NA WAPENDA MABADILIKO WA TANZANIA,KUTOKANA NA MAWZO NA UFATILIAJI WA SIASA YA HAPA TANZANIA NA MICHANGO YA WADAU WA JF,NAOMBA NITUMIE UTAALAMU WANGU KAMA”POLITICAL STRATEGIST” KUTOA MADHAIFU 180 YA KITAALAMU AMBAYO CHADEMA WANAYOYAFANYA NA LAZIMA WAYAFANYIE KAZI ILI KUFIKIA LENGO LA KUCHUKUA DOLA.
NITATOA DHAIFU 1 KWA KILA MAKALA NITAKAYOTOA.
(1) MKOSOE/SHAMBULIA MTU NA SIO TAASISI (Attack a Person, Not an Institution) NI KOSA KUBWA SANA KWA CHAMA TARAJIWA KINACHOJIANDAA KUCHUKUA DOLA VIONGOZI WAKE AU SERA ZAKE KUSHAMBULIA TAASISI MOJA KWA MOJA NA KWA UJUMLA WAKE .
KWANI TUKUMBUKE KATIKA TAASISI NYINGI WATU WENGI NI WANYONGE NA WANAKANDAMIZWA NA WANAVUMILIA UONEVU MWINGI WA KIMASIRAHI,SASA WEWE UKITUMIA MUDA MWINGI KUONESHA TAASISI YOTE NI MABAYA BILA KUJALI AU KUONGELEA TABAKA KADAMIZWA NDANI YA TAASISI HIYO,HILI HALITAKUAIDI CHOCHOTE KATIKA MAENDELEAO YA CHAMA KWA UJUMLA WAKE.
KAMA TASISI INAMAPUNGUFU,SEMA NANI/KINANANI ANAMAPUNGUFU NDANI YA TASISIS ILE,WEWE UTAFANYA NINI KUIBORESHA.TUNAKUMBUKA WOTE WAKATI WA KAMPENI NA KATIKA YANDA MBALIMABLI VIONGOZI WETU WAMEKUA WAKISHAMBURIA TASISI MBALIMBALI KWA UJUMLA WAKE MFANO KIONGOZI WETU MMOJA ALIWAHI KUSEMA “NITAIVUNJA TAASISI HII NIKIINGIA TU
 
mfanao huwezi kuvunja taasisi yote ya polisi au jeshi kisha ukatawala kwa amani ila unaweza kuwabadilisha maispecta na baadhi ya wakuu wa polisi lakini si kulivunja
 
mkuu hoja yako iko too general, na hata mfano wako hauko specific, rudi kujipanga upya kisha lete mada iliyosheheni
 
Mkuu che gwevara,

Post yako inadhihirisha pasipo shaka, uwezo wako wa kufikiri upo mashakani kama siyo ICU, na kiwango chako cha elimu kina walakini.
 
MADHAIFU 180 YA KIMKAKATI CHADEMA:Attack a Person, Not an Institution 1.

29DEC
WADAU WENZANGU NA WAPENDA MABADILIKO WA TANZANIA,KUTOKANA NA MAWZO NA UFATILIAJI WA SIASA YA HAPA TANZANIA NA MICHANGO YA WADAU WA JF,NAOMBA NITUMIE UTAALAMU WANGU KAMA”POLITICAL STRATEGIST” KUTOA MADHAIFU 180 YA KITAALAMU AMBAYO CHADEMA WANAYOYAFANYA NA LAZIMA WAYAFANYIE KAZI ILI KUFIKIA LENGO LA KUCHUKUA DOLA.
NITATOA DHAIFU 1 KWA KILA MAKALA NITAKAYOTOA.
(1) MKOSOE/SHAMBULIA MTU NA SIO TAASISI (Attack a Person, Not an Institution) NI KOSA KUBWA SANA KWA CHAMA TARAJIWA KINACHOJIANDAA KUCHUKUA DOLA VIONGOZI WAKE AU SERA ZAKE KUSHAMBULIA TAASISI MOJA KWA MOJA NA KWA UJUMLA WAKE .
KWANI TUKUMBUKE KATIKA TAASISI NYINGI WATU WENGI NI WANYONGE NA WANAKANDAMIZWA NA WANAVUMILIA UONEVU MWINGI WA KIMASIRAHI,SASA WEWE UKITUMIA MUDA MWINGI KUONESHA TAASISI YOTE NI MABAYA BILA KUJALI AU KUONGELEA TABAKA KADAMIZWA NDANI YA TAASISI HIYO,HILI HALITAKUAIDI CHOCHOTE KATIKA MAENDELEAO YA CHAMA KWA UJUMLA WAKE.
KAMA TASISI INAMAPUNGUFU,SEMA NANI/KINANANI ANAMAPUNGUFU NDANI YA TASISIS ILE,WEWE UTAFANYA NINI KUIBORESHA.TUNAKUMBUKA WOTE WAKATI WA KAMPENI NA KATIKA YANDA MBALIMABLI VIONGOZI WETU WAMEKUA WAKISHAMBURIA TASISI MBALIMBALI KWA UJUMLA WAKE MFANO KIONGOZI WETU MMOJA ALIWAHI KUSEMA “NITAIVUNJA TAASISI HII NIKIINGIA TU

Ungekuwa unajua maana ya Taasisi ni nini, usinge andika huu utumbo wako hapa!!! Tunakushauri kwamba, takataka kama hizi peleka kwenye Face Book ya Mwigulu wenu kule!
 
mfanao huwezi kuvunja taasisi yote ya polisi au jeshi kisha ukatawala kwa amani ila unaweza kuwabadilisha maispecta na baadhi ya wakuu wa polisi lakini si kulivunja

Mkuu nafikiri hapa kuna tatizo la tafsiri, kiongozi anaposema atavunja taasisi sidhani kama maana yake ni kuwafukuza/ kuwaachisha/kuwahamisha wafanyakazi wote. Anakuwa na maana hiyo hiyo uliyoitaja wewe kwamba unabadilisha uongozi wa taasisi hiyo. Ukumbuke uongozi katika taasisi za serikali mara nyingi siyo kazi aliyoajiriwa mtu kuifanya bali ni uteuzi tu ambao unaweza kubatilishwa wakati wowote bila mgongano wa kisheria. Wanaposema rais kavunja baraza la mawaziri nafikiri maana yake unaijua. Kwa mwanzo huu naona umeanza in a wrong premise tafadhali jitahidi kuboresha uchambuzi wako hapo mbeleni
 
Nimepoteza Muda wangu bure kuja kusoma Madudu ! Hivi kwanini ' TAASISI ' Kama CCM isivunjwe ?
 
Pamoja na kuwa umejiita 'political strategist' naomba nikukumbushe tu kuwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu kwa sasa na ambayo kimsingi CDM (na wabunge wengine wachache wa upinzani) wanajitahidi kuyaibua ni ya kumfumo (systemic) zaidi kuliko matatizo ya mtu mmoja moja. Kwa muktadha huu ni sahihi kabisa, kuzungumzia mfumo mzima wa kitaasisi ambao ndio unachangia kukosekana kwa uwajibikaji wa watendaji (individual persnalities) ndani ya taasisi hizo.

Kwa lugha nyingine, mfumo uliopo unaendeleza dhana ya kulindana, kuteteana na kuweka mbele zaidi maslahi ya watawala na sio uwajibikaji. Mifano iko mingi na iko wazi. Niseme kwa kifupi tu kuwa CDM wako sahihi kabisa ku attack 'the institutional context which is framing and dictating how individual actors should behave'. Nitarudi baadaye kama kutakuwa na sababu ya kufanya hivyo.
 
Hata kuandika hoja yako imeshindwa!!!
Kuna taasisi hapa Tanzania ni mbovu kabisa kimfumo, kiutendaji na kimaadili, hivyo suruhisho ni kuzivunja na kuunda taasisi mpya kimuundo, kimfumo na kiutendaji.
Kwa mfano Jeshi la polisi, TISS, PCCB, Tume ya Uchaguzi, Uhamiaji nk.

CHADEMA ni chama makini, hakiumiumi maneno, taasisi zote mbovu ni lazima zivunjwe.
 
"MADHAIFU 180 YA KIMKAKATI CHADEMA:"Attack a Person, Not an Institution 1.

Katika madhaifu 180 ya kimkakati hili la kushambulia taasisi ndiyo no1 then yatakuja mengine 179? ukikosa mtaji hapo basi hutakuja toka tena kupitia JF,7000 mara 180=?
 
Hata kuandika hoja yako imeshindwa!!!
Kuna taasisi hapa Tanzania ni mbovu kabisa kimfumo, kiutendaji na kimaadili, hivyo suruhisho ni kuzivunja na kuunda taasisi mpya kimuundo, kimfumo na kiutendaji.
Kwa mfano Jeshi la polisi, TISS, PCCB, Tume ya Uchaguzi, Uhamiaji nk.

CHADEMA ni chama makini, hakiumiumi maneno, taasisi zote mbovu ni lazima zivunjwe.
cjui km unajua kusoma
 
Mkuu nafikiri hapa kuna tatizo la tafsiri, kiongozi anaposema atavunja taasisi sidhani kama maana yake ni kuwafukuza/ kuwaachisha/kuwahamisha wafanyakazi wote. Anakuwa na maana hiyo hiyo uliyoitaja wewe kwamba unabadilisha uongozi wa taasisi hiyo. Ukumbuke uongozi katika taasisi za serikali mara nyingi siyo kazi aliyoajiriwa mtu kuifanya bali ni uteuzi tu ambao unaweza kubatilishwa wakati wowote bila mgongano wa kisheria. Wanaposema rais kavunja baraza la mawaziri nafikiri maana yake unaijua. Kwa mwanzo huu naona umeanza in a wrong premise tafadhali jitahidi kuboresha uchambuzi wako hapo mbeleni
hivi wewe ni kamusiau wikipedia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom