madereva wenzangu ...mitaa ya iringa

madereva wenzangu ...mitaa ya iringa

ISAAC11

Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
94
Reaction score
12
ebwana naomba mnisaidie maeneo naweza kupata kipozeo i mean sex plzzzz hali ni mbaya sana na baridi
 
Dah!
Kweli Watz bado tuna safari ndefu sana katika kampeni ya TULIZANA.
Maana hapo nina uhakika mleta mada nyumbani ameacha aidha mke,mpenzi au mchumba na bado huko tena anatafuta mwingine.

Ila huo ni uhuru wako binafsi, ngoja wenzio waje kukusaidia.
 
kwa takwimu za tacaids iringa ndo inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi
 
Dah!
Kweli Watz bado tuna safari ndefu sana katika kampeni ya TULIZANA.
Maana hapo nina uhakika mleta mada nyumbani ameacha aidha mke,mpenzi au mchumba na bado huko tena anatafuta mwingine.

Ila huo ni uhuru wako binafsi, ngoja wenzio waje kukusaidia.

mke na watoto......
Familia yooote inamtegemea yeye.......
afu huku anaasema anatafuta kipozeo...........

Vipozeo nao wana kazi jamani!!!!!!!
 
ebwana naomba mnisaidie maeneo naweza kupata kipozeo i mean sex plzzzz hali ni mbaya sana na baridi

Nenda town kule mitaa ya Rwaha hotel ndo kuna vimboga wakali wasio na usumbufu! uliza sehemu maarufu wanapochoma nyama.
Tahadhari pale ukimwi umejaa sana kuliko rwaha mbuyuni pale kilipo kituo kikuu cha madereva cha kupata vpozeo!
 
Wakuu, mnapomtoa mtu unyasi mmeangalia boriti kwenu?
 
Back
Top Bottom