Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,577
Na waajiri wao watafikishwa mahakamani kwa kuajiri madereva tax zaidi ya 500,000 wanaotoa huduma sehemu kubwa ya Ufaransa na nje ya nchi hiyo wakiwa na kampuni ya UBER ambayo hutoa ajira kwa madereva wa mitaani ambao hawajapitia mafunzo ya kuendesha magari ya abiria kiasi kwamba kwa siku za karibuni wamesababisha ajali nyingi na hasara kwa taifa hilo. My take: Je Tanzania kwa nini tusiweke siasa pembeni na kushughulikia hizi ajali zetu kwa kuchukua maamuzi magumu kama haya!!