Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,155
- 29,607
Samahani kama nitagusa baba zenu maana hawatoii lift, wacha tuisaidie serikali tu.
Ukitokea Mlimani city fika pale MAWASILIANO kunja kama unaelekea kituo cha mabasi, baada ya kupita vile vibanda upande wako wa kulia hesabu nyumba ya kwanza mpaka ya nne utaonaa eneo liko wazi unaweza kuingiza vijana wako kujifanya unahitaji mafuta.
Hapo magariya serkl usiku kuanzia saa nne ndio yananyonywa mafuta yao na kama wameshindwa kuja asubuhi wanakwenda kwenye nyumba ya mtu Tabata ndani ana eneo kubwa nahisi ndio mmiliki wa hapo wanakusanya kwenye mapipa kabisa wanachukua kapikipiki kamoja kana bodi nyuma haka mara nyingi kana rangi nyekundu kanapeleka mzigo mawasiliano.
Tunaomba ushirikiano wenu.