Umeona heee! Wenye Boxer tunahesabika.Ndio hizi wanaziita Toyota Harakishi. By the way naona Jf kila member ni mmiliki wa ndinga.
Mkuu inaonekana una roho mbaya. Unless useme ulikuwa unatania.Hao dawa yao Tipa la mchanga unamwekea tu.
Usichukulie kila kitu serious humu. Wengine hawana hata ToloriUmeona heee! Wenye Boxer tunahesabika.
Kwani zinatumia Ky au Petrol na Dizeli kama nyingine?Dah.... hizo gari nikukuta inaendeshwa na mwanaume basi najua ni schoger tu [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Usitambe sana ukinikuta na V8, LC200, Kilimo Kwanza!Mkuu mimi nina BMW Bike
R1200 - speed 220km/h
Weee tangulia tuu ila ujue nikivuta wese sekund haipiti....
Nakupigia Overtake afu nakuwa niko kwa pembeni yako. [emoji621] [emoji621] [emoji621]
Kumbe mabinti nao wana fujo barabarani. 😉😉😉imenikuta mara kadhaa nikiwa safarini madereva wa hiz harrier second generation kujiamini wanapenda wawe mbele muda wote...hata mlimani wana overtake..