Madereva pitieni hapa kuepuka fine za overspeed na speed camera

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Wakuu,

Msimu huu wa sikukuu nimeona baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo.

Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, ila kuna matrafic wengine wanakera kweli kweli.

Download hii app hapa chini kwenye simu yako, itakujulisha uwepo wa speed kamera nusu kilometa kabla hujaifikia. Utaepuka fine kirahisi.

Nice holidays

Speed Cameras & Traffic Sygic - Android Apps on Google Play
 
Safi...ngoja niipakue manake hao jamaa wamezidi
 
Inaonekana iko vizuri nimeshaipakua nitaleta mrejesho.ubarikiwe sana
 
Inafanyaje kazi hii. Inapiga alarm ukikaribia au inafanyaje?
 
Hahahahah, dah twapenda unafuu! Nadhani inatumia Internet! Wht if ukiwa out of coverage
Inatumia GPS na sio internet

 
Wale jamaa wakisha kutageti hata uwe unatembea speed 20 wanajua wanavyoyaset makamera yao!
Yaani kikawaida inabidi ukiwaona wale jamaa uwe na amani lakini hapa ni tofauti maana ukiwaona unapaniki hata inaweza kutokea ajali!
 
Duuuuh..!! hii hatari...kwahiyo nikiwa free way speed 120...ila Trafik wa siku hizi wanakutafutia kosa tu si unajua sikukuu na watoto wanataka kwenda shule january...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…